Kwani urafiki wa Russia na Venezuala umeanza leo mkuu?.BTW walikuwa wapi wakati nchi inaharibika?Ukifanya urafiki na adui yangu na mimi ntafanya urafiki na adui yako.From Poroshenko to Maduro.
Ndio jibu kiongoziUnamaanisha POROSHENKO kafanya urafiki na USA kwa hiyo yeye Putin anafanya urafiki na Maduro?
Akitoka huko akapige zoezi pale CUBA uone mzee wa Wigi atavyopaniki.
Hahah aisee.Unataka aharishe
sisi ni NAM mkuuTaifa letu lime base wapi ...America na washirika wake au kwa Putin
Kitu inaweza ikabeba vichwa vya makombora ya nuclear,hii sentensi unaionaje boss?hizo f-16 zilikuwa zinazifalia Tu-160 kama ndege za adui au rafiki ?
kwa na hizo Tu-160 huwa zinaruka bila kuwa na usaidizi wa ndege vita za russia?
Nahisi Norway alifikiri labda hizo ndege zilikuwa zinaelekea kwake,kwa hiyo akaamua kuzituma F-18 zake kwa ajili ya kuzifuatilia hizo T-160 zilizokuwa zikielekea Venezuela.Akaja kugundua kumbe zilikuwa na safari zake,kwa hiyo akaachana nazo.hizo f-16 zilikuwa zinazifalia Tu-160 kama ndege za adui au rafiki ?
kwa na hizo Tu-160 huwa zinaruka bila kuwa na usaidizi wa ndege vita za russia?