Ng'wanambula
Senior Member
- Oct 2, 2011
- 197
- 54
Lugha ya mtu aimwondolei haki yake ya kuwa Mtzd tembea uone hahapa TZ wako watu hawajui kiswahili, Labda unalako weka wazi
Na wewe acha USHAMBA kwani ukijua kiswahili ndio umefuta ujinga?hiyo ni lugha tu kama ilivyo kisukuma,kichaga,kihaya,kiha n.k.Lugha haina uhusiano na elimu.Nyie ndio wenye mawazo kuwa mtu akijua kiingereza ni msomi???!!!.Mtu anaweza kuwa msomi kwa kutumia lugha yake ya mama na mfano mzuri ni nchi za China,Japan,Korea,Urusi,Ujerumani,Ureno n.k
Nimeengalia kipindi chake cha ITV
nimeshidwa kuelewa kama kweli ni mtnzania
Inakuwa Prof mzima kiswahili kinampiga chenga?
Je utaifa wake ndo mana Rais hajamueka kwenye kamati ya katiba?
Wikipidia wanasema hivi
Born in Kilosa, Tanzania in 1946, Professor Shivji was for 36 years a distinguished professor in Constitutional Law in the University of Dar es Salaam's Faculty of Law. He is a professor of international renown, having built his reputation through the publication of over 18 books, numerous articles and book chapters. Shivji has served as advocate of the high court and the Court of Appeal of Tanzania since 1977 and advocate of the high court in Zanzibar since 1989. He has received several national and international distinguished scholar awards, including an honorary doctorate from the University of East London, UK.
Suala la lugha lisikuumize kichwa mkuu,wengi wetu hatukifahamu Kiswahili fasaha mfano mzuri ni mitihani ya Kiswahili ni nani anaweza kupa 100%
Lugha ya mtu aimwondolei haki yake ya kuwa Mtzd tembea uone hahapa TZ wako watu hawajui kiswahili, Labda unalako weka wazi
Mkuu nenda Usukumani au nenda Bukoba kuna Watanzania hawajawahi kuongea kiswahili kabisa.
Kwenye bold hapo ndio kitu gani ewe mtoto wa Magamba?Mpumzika mkuu usiku huu.
Hee, mara hii Prof. wa watu kawa mnyama wa porini? Kwahiyo ni Mtanzania wa mbuga gani za kwetu hapa Tz? Watu wengine bwana, sijui miili yao imetengana na akili?????!!!!!!!!!!Utanzania sio rangi ya mtu ni uzalendo tu unaotakiwa Prf. Shivji ni mbogo kabisa amesimama ni mfano kwa jamii.