Je Prof. Shivji ni Mtanzania?

Je Prof. Shivji ni Mtanzania?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2010
Posts
7,263
Reaction score
684
Nimeengalia kipindi chake cha ITV
nimeshidwa kuelewa kama kweli ni mtnzania

Inakuwa Prof mzima kiswahili kinampiga chenga?

Je utaifa wake ndo mana Rais hajamueka kwenye kamati ya katiba?

Wikipidia wanasema hivi

Born in Kilosa, Tanzania in 1946, Professor Shivji was for 36 years a distinguished professor in Constitutional Law in the University of Dar es Salaam's Faculty of Law. He is a professor of international renown, having built his reputation through the publication of over 18 books, numerous articles and book chapters. Shivji has served as advocate of the high court and the Court of Appeal of Tanzania since 1977 and advocate of the high court in Zanzibar since 1989. He has received several national and international distinguished scholar awards, including an honorary doctorate from the University of East London, UK.
 
Mkuu pole na uchovu wa leo! Hebu pumzika kidogo maana usingizi umekubana sana mpaka unaanza kuota hata kabla hujalaa.
Kwi kwi kwi.......
 
Kumbuka kuwa huyo ana asili ya Kiasia, na kama ilivyo kawaida ya Waasia hususan wa bara hindi, huwa lugha ya nyumbani (lugha mama) ni kihindi tu, lugha zingine zote ni za pili au za tatu kwao.

Juzi kaletwa bibi wa Kisukuma kwenye luninga hajui kabisa kusema Kiswahili, Jee na yule ni Mtanzania?

Licha ya hao, hata humu JF kuna wengi sana ambao Kiswahili kinawapiga chenga, ukitembea Tanzania hii, utakutana na Watanzania wengi sana ambao ni "natives" lakini Kiswahili kinawapiga chenga, kwa kuwa tu , lugha mama kwao si Kiswahili na Kiswahili ni cha kujifunza kama lugha ya pili, mfano, umeshamsikia Augustine Lyatonga Mrema aliyekuwa Naibu Waziri Mkuu Tanzania kipindi cha Mwinyi na sasa ni Mbunge kupitia TLP, Mheshimiwa Augustine Lyatonga Mrema, akitamka Kiswahili "nji hii" ndio anamaanisha "nchi hii".
 
Hata watoto wangu na hizi shule za english medium wakiongea kiswahili utadhani wahindi!huku baba mama waswahili wa pwani
 
Nimeengalia kipindi chake cha ITV
nimeshidwa kuelewa kama kweli ni mtnzania

Inakuwa Prof mzima kiswahili kinampiga chenga?

Je utaifa wake ndo mana Rais hajamueka kwenye kamati ya katiba?

Wikipidia wanasema hivi

Born in Kilosa, Tanzania in 1946, Professor Shivji was for 36 years a distinguished professor in Constitutional Law in the University of Dar es Salaam's Faculty of Law. He is a professor of international renown, having built his reputation through the publication of over 18 books, numerous articles and book chapters. Shivji has served as advocate of the high court and the Court of Appeal of Tanzania since 1977 and advocate of the high court in Zanzibar since 1989. He has received several national and international distinguished scholar awards, including an honorary doctorate from the University of East London, UK.

Suala la lugha lisikuumize kichwa mkuu,wengi wetu hatukifahamu Kiswahili fasaha mfano mzuri ni mitihani ya Kiswahili ni nani anaweza kupa 100%
 
ulitaka kujua, kumsifu au kumdis?
Nimeengalia kipindi chake cha ITV
nimeshidwa kuelewa kama kweli ni mtnzania

Inakuwa Prof mzima kiswahili kinampiga chenga?

Je utaifa wake ndo mana Rais hajamueka kwenye kamati ya katiba?

Wikipidia wanasema hivi

Born in Kilosa, Tanzania in 1946, Professor Shivji was for 36 years a distinguished professor in Constitutional Law in the University of Dar es Salaam's Faculty of Law. He is a professor of international renown, having built his reputation through the publication of over 18 books, numerous articles and book chapters. Shivji has served as advocate of the high court and the Court of Appeal of Tanzania since 1977 and advocate of the high court in Zanzibar since 1989. He has received several national and international distinguished scholar awards, including an honorary doctorate from the University of East London, UK.
 
wacha kabila wako hapo,nyie ndiyo mnaleta vurugu kule zanzibar,inakusaidia nini kuuliza ni mtanzania,wewe ni uhamiaji,wacha hizo,kama huna hoja hapa sepelezea
 
Pumbafu,nyie mnatakiwa kufungwa milele ndiyo mnatuharibia hali ya hewa
 
Mkuu nenda Usukumani au nenda Bukoba kuna Watanzania hawajawahi kuongea kiswahili kabisa.
kwa hiyo ccm na serikali yake haijasomesha na kufuta ujinga kwa wananchi wake ndani ya miaka 51 ya uhuru?
 
Gemu ya ujerumani na uholanzi imeisha?
 
Lugha ya mtu aimwondolei haki yake ya kuwa Mtzd tembea uone hahapa TZ wako watu hawajui kiswahili, Labda unalako weka wazi
 
Dr. Kupeng'e wewe ni Mtanzania? mbona una nywele za kidhungu?
 
ni mtanzania na naona huwa anazungumza kiswahili fasaha, labda lafudhi yake ndo inafanya uone hazungumzi kiswahili fasaha.
 
Ndio raha ya JF mngelikuwa mmeshamtambuwa huyu aliyeanzisha thread hii basi msingepoteza muda wenu.
 
Umeandika kiushabiki zaidi na lengo la kubagua rangi,ni gonjwa baya sana na limelaaniwa na mwenyezi mungu.Tumuogope mungu zaidi kuliko shetani anaetuponza.
 
kwa hiyo ccm na serikali yake haijasomesha na kufuta ujinga kwa wananchi wake ndani ya miaka 51 ya uhuru?

Na wewe acha USHAMBA kwani ukijua kiswahili ndio umefuta ujinga?hiyo ni lugha tu kama ilivyo kisukuma,kichaga,kihaya,kiha n.k.Lugha haina uhusiano na elimu.Nyie ndio wenye mawazo kuwa mtu akijua kiingereza ni msomi???!!!.Mtu anaweza kuwa msomi kwa kutumia lugha yake ya mama na mfano mzuri ni nchi za China,Japan,Korea,Urusi,Ujerumani,Ureno n.k
 
Back
Top Bottom