Je, Polepole ni tapeli ?

Mambo ya lissu yanamhusu nini?

Mambo ya reforms Yana mhusu nini?

Yeye anaongea na wana CCM wenzake

Kama wewe sio ccm then hoja zake hazikuhusu
Wanasiasa wa CCM wote waliojifanya kutetea maslahi ya ccm waliishia wapi? Kula matapishi yao?
 
Pole pole ni Tapeli . Angekua mzalendo angeongelea usawa wa Demokrasia na Matukio mengine ya kusikitisha wanayo pitia wapinzani na waandishi wa habari.

Pole pole ni mchumia tumbo Tu!!
Reforms zimetuonyesha matapeli wengi wa kisiasa mtu yoyote hawezi simama na Reforms basi Sima na Mama polepole nae anapambana kuingia kwenye mfumo
 
!
I will go for SSH over JPM ,JPM ndio kafanya tupitie huu ushetani
Wapumbavvu na machawa huwa hamjifichi na reasoning zenu za kipumbavu

Kwa hiyo jpm ndio amefanya/alituma watu wakamuue Ally Kibao?

Jpm ndio aliyempoteza Ndude Nyangali ambaye mpaka leo hatujui yuko wapi?

Jpm ndio anahusika na ubakaji wa wals wanaharakati wa nchi jirani waliokuja kuskiliza kesi ya Lisu?

Yaan kma umekaza mkundu hapa eti leo hii tunapitia haya kwa sababu ya magufuli huku ukimtetea samia?

Kwa hiyo samia hausiki kabisa na wala hastahili kulaumiwa kwa maovu yanayoendelea sasa si ndio maana yake?

Mbona unakuwa mpumbavvu hivyo kama huyo jamaa (Allency) aliyekupa like kwenye hii comment yako?
 
Chadema waendelee kupush reforms yao wanatolewa kwenye agenda za CCM na Polepole na vita ya mwanachama na chama chake. Wao wamekimbia kwenye reforms wako na Polepole wanasahau polepole ni mwana CCM wanaitwaga Nyumba
 
Mkuu kwenye huo uovu ni kipi kiovyo ambacho Jiwe hakufanya? Jiwe ndiye muhasisi ya haya yote unayoyaona leo. Hata mambo ya wizi wa kura kipindi chake nadhani unakumbuka.
 
Achana nae huyo.. ana chuki binafsi na Mama...
 
Azungumze mambo ya Lissu ya Kazi Gani? Polepole yeye ameshajinasibu kuwa yeye Bado ni Mwananchama mtiifu wa CCM kuanza kuongelea mambo ya Upinzani sio wakati wake huu

..mambo ya Lissu ni ya nchi sio ya Chadema.

..kwa mfano, anaposema NRNE anataka marekebisho katika tume ya taifa ya uchaguzi, sio tume ya uchaguzi ya Chadema.
 
Chadema waendelee kupush reforms yao wanatolewa kwenye agenda za CCM na Polepole na vita ya mwanachama na chama chake. Wao wamekimbia kwenye reforms wako na Polepole wanasahau polepole ni mwana CCM wanaitwaga Nyumba
Mimi napenda sana reform na sitaki kabisa CHADEMA ishiriki kwenye uchaguzi kwa hali ilivyo sasa. Ila kusema kuwa Polepole anafifisha madai ya reforms ya CHADEMA siyo sahihi. Njia pekee ya kudai reforms ni wananchi kuingia mitaani, kitu ambacho sione kikitokea sasa hivi. Kimsingi Polepole anaisaidia sana CHADEMA kwa anayofanya kwa sababu anaonyesha jinsi katiba na taratibu za uchaguzi zinavyoweza kubakwa.
 
Akihamia nccr au CHAUMA utapeli utathibitika,

So far weka akiba ya maneno,

Ccm ikibadili mgombea na kufuata taratibu njema, mengi yatakuwa solved.
 
Akihamia nccr au CHAUMA utapeli utathibitika,

So far weka akiba ya maneno,

Ccm ikibadili mgombea na kufuata taratibu njema, mengi yatakuwa solved.

..Ccm wakibadili mgombea wakati Tume ya Uchaguzi haijabadilika uchaguzi bado hautakuwa huru.

..Polepole anapigania mambo ya Ccm hapiganii mambo ya kitaifa.

..Na ukimsikiliza Polepole haonekani kujutia mambo ya kidhalimu yaliyofanyika katika utawala wa Magufuli ambapo yeye alikuwa mtetezi namba moja.
 
Kwa Msgufuri hata huyo mama yenu alikuwemo.
 
Katika kipindi hicho, hao wote mbaowakubali walikuwemo. Hakua peke ake.
 
Mstaafu akistaafushwa, Kila kitu kitu kitarudi kwa mstari.
 
Angeendelea kuwa balozi huko kwa Castrol ungesubutu kuandika uzi kama huu si ungeokotwa huko..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…