NakaziaYule kaka mtu kaongea pumba
Thibitisheni sasaPolepole hajatekwa, yupo salama salmini nchini Sweden. Kinachoendelea ni kujaribu kuzima moto wa kapteni Tesha.
Wakati wenzako wanasoma shuleni wewe ulikuwa unawachoma na tunda za ubuyuKuna mawili, either katekwa kweli au wanatuliza upepo wa Capt. Tesha. Wanasiasa sio wa kuaminiwa sana.
Sasa kama kweli ana chip unasema ana chip ili iweje?Ndugu wa Balozi amehojiwa na tumemsikia. Kuna maneno na yanayozungumzwa mitandaoni hasa hili la 'chip' ambayo ndio theory yangu inapokuja.
Je, ni kweli Balozi ana bug katika mwili wake au ni scare crow tactic aliyotumia mtoa taarifa kuwatisha watekaji.
Je, kama ni kweli Ana bug basi Lazima Kuna prearranged reinforcement ya kum tracking na possibly rescue.
Wakati utaongea.
Polepole hajatekwa, yupo salama salmini nchini Sweden. Kinachoendelea ni kujaribu kuzima moto wa kapteni Tesha.
Ni sawa. Una haki ya kusema chochote unachojisikia.Wakati wenzako wanasoma shuleni wewe ulikuwa unawachoma na tunda za ubuyu
I hope this is the case, maana nimekua na siku mbaya sana leo uwiiPolepole hajatekwa, yupo salama salmini nchini Sweden. Kinachoendelea ni kujaribu kuzima moto wa kapteni Tesha.
Si inasemwa wenye kazi ya kutafuta wapo kwenye vikao!!?movement za Kumtafuta
Kichwa chako kina chelewa sana kutafsiri mambo kama hadi sasa hizi ndo fikra zakoKuna mawili, either katekwa kweli au wanatuliza upepo wa Capt. Tesha. Wanasiasa sio wa kuaminiwa sana.
Angalia tusijue kukupa sifa za PM wakati ule wa 'mtanzuo'!Polepole hajatekwa, yupo salama salmini nchini Sweden. Kinachoendelea ni kujaribu kuzima moto wa kapteni Tesha.
Ndio maana darasani kuna wa-kwanza na wa-mwisho, hatuwezi kulingana.Kichwa chako kina chelewa sana kutafsiri mambo kama hadi sasa hizi ndo fikra zako
Mnafikiri huyo beans kaongea Hivi Hivi? Hiyo ni code ambayo atakuwa alikubaliana na Polepole. Unaweza kumuona mtu mpumbavu kumbe wewe ndio mjingaKosa kubwa alolifanya Kaka yake ni hili huenda sababu ya kupaniki.
Polepole wameondoka naye akiwa Hai, ila kwakua wamekua ana Chip, watamuua, watamchoma moto.
Unless otherwise hivi Sasa kuwe na movement za Kumtafuta
Yawezekana hiyo ni tactic ya kuwatisha watekaji na kuwanyima uhuru wa kafanya wanavyo taka....sasa hivi huenda wanaogopa wanahisi wanafatiliwa pia...... Nasaport kaka mtu alichokifanyaYule kaka mtu kaongea pumba