Je, picha hii ni halisi?

Je, picha hii ni halisi?

Wakuu naomba kuuliza, hii picha ni ya kweli au ni ya kutengenezwa?🤔

PICHA FEKI.jpg
 
Tunachokijua
Kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii imesambaa picha inayowaonesha wananchi wakiwa kwenye shughuli mbalimbali hususan za kibiashara kwenye eneo la barabara huku mazingira yakiwa machafu na kuibua mjadala kuhusu uhalisia wa picha hiyo. Picha hiyo imehusishwa na mataifa mbalimbali ikiwemo Nigeria, Tanzania na Kenya lakini je ni halisi?

Ufuatiliaji wa JamiiCheck umejirirdhisha kuwa
Back
Top Bottom