Je, Paul Makonda hana "imani" na mahakama?

Je, Paul Makonda hana "imani" na mahakama?

Kisu Cha Ngariba

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
22,130
Reaction score
48,862
787e65099f6a4c847f754206b1326ff5.jpg

Paul Makonda kandika kwenye ukurasa wake wa Instagram "Anaweza kushinda kwa sheria za duniani.Lakini Mungu ni hakimu wa kweli duniani na mbinguni. Saidi pacha wangu usiumie Mungu yupo upande wetu"

Hii ilikua ni baada ya jana Scorpion kufutiwa mashitaka na kufunguliwa tena.
 
Mh Makonda ktk hili kapita na gari kwenye reli akigongwa asilaumu. ndio maana uongozi ni hekima sio kukurupuka yeye mwenyewe akishaujuwa ukweli atatamani kufuta misaada yote katowa tusiukumu pasipo kupata ushaidi.
 
mahakama hapo haihusiki kwa sababu waliotaka kufutiwa kwa mashitaka ya scorpion siyo mahakama ni waliopeleka maombi (serikali) na haimaanishi kuwa kesi imeisha.
 
Hahahahahahahaha. Mbona pacha wa saidi
 
Hizi kiki hizi!! Mtu anaamua kujipa undugu wa hiari... pacha wake Said nini???
 
huyu mtu ameanza kutoonesha imani na serikar yake maana kufutwa kesi haikuwa uamuz wa mahakama ila wao wenyewe....kama walivo raia wengne na yy ameanza kuonesha kupoteza iman ya ahad ya nchi ya viwanda na uchumi wa kati!
 
Back
Top Bottom