Mh! Hapa hujafunguka kaka! Yawezekana uli/namkera ktk baadhi ya mambo au anamatatizo yake binafsi, hutakiwi kukurupuka hapa na kumdhani 1 kwa 1 anakusaliti au kakuchoka.
Ktk mazingira ya kawaida haiwezekani mtu kuwa ktk hali iyo bila ya sababu.
Ushauri wangu, wewe m/me jitahidi kumshawishi hivi na hive mpaka upate ukweli, si w/ke wote wanaweza kufunguka juu ya mambo yanayowakwaza.