STERLING2014
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 239
- 75
Wadau nashukuru kwa mara nyingine tena kuja katika jukwaa hili nikiamini kuwa kina wataalaam wa tecnojia ya mawasiliano wakiendelea kuakikisha binadamu hatupati shida kwa mahitaji yetu ya kila siku.
Nikiamini hivo kuna kitu nahisi kinawezekana kwa ni kinahitaji uchunguzi na majaribio ya kisayansi zaidi. Hivyo naomba msaada weni namna tunavyoweza kurahisisha mawasiliano kwa kutumia speed ya 3g tunapokuwa tupo katoka maeneo yenye 3g
thnx
THNX wadau kwa kuendelea kijibu swali langu. me nimejitaidi kugoogle nikaona kwamba inawezekana kwa kuandika nenoa ACT 3G kwenye uwanja wa sms na kutuma kwenda 144. kwa upande wangu imekataa inawezekana imekataa kwa kua natumia tecno. naomba wadau wenye aina nyingine za cm na mpo kwenye net za 2g jaribuni arafu mlete feedback hapa. thnx
kila MTU anaweza kugoogle ila kugoogle relevant answers ndio ishu. wewe umeona how to activate 3g basi ukatoka nduki kuwa inawezekana. kwanza icho ulichopata ni kuactivate kwa mtandao wa Vodafone India sasa wewe unaleta hapa. pili
ni rahisi kupata maji kutoka kwenye maziwa kuliko kupata maziwa kwenye maji... umeelewa?
Hiyo inategemea na mitandao ya simu,kuna baadhi ya sehemu voda wa 3g wakati tigo wana 2g japo ni sehemu moja.lkn wadau me najubaliana nanyi lkn kama hauwezekani inakuaje jamaa yangu anacm ya vodafone vf685 lkn anaweza kuaccess net ya 3g ktk eneo lenye 3g. tupien apa tueleweshane imewezekanaje.