Je nitapata wapi matokeo ya Kidato cha Nne ya mwaka 2006? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je nitapata wapi matokeo ya Kidato cha Nne ya mwaka 2006?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kimbori, May 11, 2012.

 1. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,748
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Naomba msaada juu ya link au website ninayweza kupta matokeo ya Form IV ya 2006.
   
 2. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,296
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  sidhani kama hayo matokeo yapo website ya baraza la mitihani, nenda taasis ya elimu pale mwenge mkabala na new world cinema wanavyo vitabu vya matokeo kwa miaka yote kwa shule zote watakusaidia na ni bure kuangalia
   
 3. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,748
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Ahsante! Kwani nimetafuta kwenye mtandao sanaaa...
   
Loading...