HUTAKI MWANAUME APENDE SEX NA UNAJUA NI HITAJI LAKE LA MSINGI?Habari wanajukwaa! Mimi naamini mapenzi ya kweli hutakiwi kutumia nguvu nyingi kuyapata, ila pia naamini mapenzi ya kweli ni kupata wa kufanana nae ili usiwe unajieleza sana kwake. Kwa umri wangu huu wa makamo bado natafuta mtu wa namna hiyo. Mtu ambae tunaendana, na ni sawa kwangu kama sitampata ntasubiri next life.
Sifa zangu.;
1. Mimi ni mwanamke umri 35 na wakawaida sana( maana hamchelewi kuulizia tako[emoji3])
2.Napenda amani ya moyo wangu
3. Napenda Imani yangu ya kikristo ila sio mlokole.
4. Sio mpenzi wa sex. Hata nisipofanya kwa muda mrefu hainipi shida.
5. Ninayo shughuli ya kuniingizia kipato.
Sifa za mwanaume nimpendae.
1. Umri kuanzia 35-40
2. Anayependa amani ya moyo wake na asiwe na Mambo mengi.
3. Mkristo
4. Asiwe mpenda sex sana (hapa ni muhimu maana asijeona ananyimwa haki ya msingi)
5. Napenda mwanaume smart kichwani( ye ndio kichwa wa Familia)
6. Awe na shughuli ya kumwingizia kipato.
Napenda Familia na napenda watoto ila naamini katika wakati sahihi kwenye maisha.
Sitaki kudanganya mtu. Ni vizuri mtu anijue mapema. Tumeona hapa jukwaani kesi nyingi wanaume wakilalamika kunyimwa unyumba na wake zao. 1HUTAKI MWANAUME APENDE SEX NA UNAJUA NI HITAJI LAKE LA MSINGI?
PUNGUZA STANDARD..... otherwise hautapata wa kufanana nae
Uzuri wa maisha kila mtu anayafanya anavoona sawa kwake.• Unasubiri Next life, alafu una age ya 35 [emoji855][emoji855]?
• Ikumbukwe kuwa bado 9 years, ili uwe menopause. [emoji51][emoji51]
Ila ukizidiwa unatoka tena nje kuomba msaada... [ hii ni asili ya binadamu ]Uzuri wa maisha kila mtu anayafanya anavoona sawa kwake.
Aamin Kila lenye kheri kwake
Ukitaka mwanaume asiependa sex tafuta wenye kisukari,presha ,obesity au homorne imbalance utainjoi hata mwezi unaweza kupita hajakugusaHabari wanajukwaa! Mimi naamini mapenzi ya kweli hutakiwi kutumia nguvu nyingi kuyapata, ila pia naamini mapenzi ya kweli ni kupata wa kufanana nae ili usiwe unajieleza sana kwake. Kwa umri wangu huu wa makamo bado natafuta mtu wa namna hiyo. Mtu ambae tunaendana, na ni sawa kwangu kama sitampata ntasubiri next life.
Sifa zangu.;
1. Mimi ni mwanamke umri 35 na wakawaida sana( maana hamchelewi kuulizia tako[emoji3])
2.Napenda amani ya moyo wangu
3. Napenda Imani yangu ya kikristo ila sio mlokole.
4. Sio mpenzi wa sex. Hata nisipofanya kwa muda mrefu hainipi shida.
5. Ninayo shughuli ya kuniingizia kipato.
Sifa za mwanaume nimpendae.
1. Umri kuanzia 35-40
2. Anayependa amani ya moyo wake na asiwe na Mambo mengi.
3. Mkristo
4. Asiwe mpenda sex sana (hapa ni muhimu maana asijeona ananyimwa haki ya msingi)
5. Napenda mwanaume smart kichwani( ye ndio kichwa wa Familia)
6. Awe na shughuli ya kumwingizia kipato.
Napenda Familia na napenda watoto ila naamini katika wakati sahihi kwenye maisha.
[emoji23][emoji23]nimeshangaa sana wanawake wasiku iz bwana,mara nyingi kutopenda sex sio ishara nzuri kiafya unaweza kuta homorne imbalance inamnyemelea ye hashtukiUnapenda watoto, hupendi Sex na hata msipofanya muda mrefu sio tatizo, sijua hao 'watoto' mtapata vipi. Dunia uwanja wa fujo