Miezi kadhaa iliyopita nilikuwa naweza kutumia Facebook bure (lile toleo lisiloonyesha picha) kwa kutumia Vodacom; kwenye Nokia E61i. Kwa sasa natumia Nokia E72, siwezi kupata Facebook ya bure. Je nitafanyaje nipate hiyo huduma bure?