Breed ndio niniMwezi January breed ilikua tarehe 10 mwezi February breed ilikua tarehe 11 lakini February nilikutana kimwili na mwezangu tarehe 22/2/2025 jana sijaona breed Wala juzi nimepima jana mstari ni mmoja tu je Nina mimba au?
Wajomba hatuna makazi tu nalala stand sjui itakuaje,Natarajia kupata mtoto my dyadyaaa Mshangazi dot com
Nawaletea mjomba ... Mjiandae atakuwa anakuja likizo kwenu, nyie si ndo wababa wadogo Bolotoba Monetary doctor
Nimeona nimeambiwa niwe makini nae na wadau😁😁😁🙌Binti sayuniiiii ... Kuna mwamba amekuandikia uzii wa kububujikwa kwa pendo lake kwako
Umeona 🤣
Watoto wanakuja Baraka ... Huyu anaweza akaja na Kampuni tuwe wavumilivu tu 🤣Wajomba hatuna makazi tu nalala stand sjui itakuaje,
Najitolea kukulinda kuanzia Leo!Nimeona nimeambiwa niwe makini nae na wadau😁😁😁🙌
Huyo sio binti tena huyo ni mmama tayari. Anategemea kupata mtotoPunguza mawazo Binti mambo ya kawaida haya
Wakati unafanya hukuwa unajua hii inaweza kuwa moja ya matokeo?Mwezi January breed ilikua tarehe 10 mwezi February breed ilikua tarehe 11 lakini February nilikutana kimwili na mwezangu tarehe 22/2/2025 jana sijaona breed Wala juzi nimepima jana mstari ni mmoja tu je Nina mimba au?
Wewe humu ni mwenyeji sana?Najitolea kukulinda kuanzia Leo!
Ntakulinda kwa manati, bunduki Sina mwayaa!
Ntakulinda kwa maombi na sala!
Ntakulinda kwa uganga na ulozi!
Mwenyeji ni Bolotoba min -me Intelligent businessman na Monetary doctorWewe humu ni mwenyeji sana?
Mzee wa jobless ulipataje mbususu na wakati huna helawe si ndo uli nambia kuwa una penda nimwagie kwa ndani?
Hongera, mimi nishakuwa mwenyeji kidogo sasaMwenyeji ni Bolotoba min -me Intelligent businessman na Monetary doctor
Mie mgeni, nimetokea Tanga, kisosora!
Wanawake mnaogopa mimba zaidi kuliko ukimwi
Basi utakuwa mwenyeji wangu!Hongera, mimi nishakuwa mwenyeji kidogo sasa
Huku mjini magari kutembea tembea siyo salama sana kuna vibaka wengi piaBasi utakuwa mwenyeji wangu!
Unitembezeee tembeze