Je, Nipoteze mda na yeye?

Za j2 wapendwa hope misa ta kwanza ilikuwa tamu kama ilivyokua kwangu.
 
Under 30 boyz ni sheeda. Kesho utakuja hapa kumsingizia shetani.
Mpaka hapo ulishashindwa. Yaani huwezi kumuacha kwa uzuri wake afu unasema una mchumba? Kwaiyo tukuchagulie? Toa utoto kwanza tafta maisha acha kuangaika na wanawake mwanaume usifiwa kwa pochi na si idadi ya wanawake.

Kwa upande mwingine hivi wanawake nani alituroga? Utaanzaje kwenda kwa mwanaume uliekutana nae mitandaoni tena unaenda moja kwa moja kwake? How? Unaanzia wap? Kwa nn maikutane sehemu tofauti na nyumbani ili njuane kiundani? Au ndo yale yale ya kuzoazoa? Je huyo dada mpya hana malengo? Anataka kujisogeza kinyemera hivyo? Hataki hata harusi heshima ya ndoa? Anataka apende na si kupendwa? Cheap ladies ni sheeda. Umeharibu siku yangu.
 

Kweli ni mzuri, ila utakapo kuja kugundua kwamba alisha toa mimba mara 3 na hawezi kuzaa tena, ndipo utaona umuhimu wa yule wa kwanza!!!!
 
jitahidi tu umuache, cha kufanya muagize mpenzi wako aje akusalimu ndo utaweza pata nguvu za kumuacha.....ila akija kabla ya mpenzi wako ndo basi tena huchomoki
 
Mtu hata umri wake sahihi haujui hapo utamshauri nini? Fanya unachokifikiria kwa sshv
 
Yupo mkoa gani , mi nina wesa kukusaidia , nitumie namba yake faster
 
Magufuli aanzishe system ya kila mwenye wanawake zaidi ya mmoja akawalipie kodr tra.
 
Wew n msaliti na huyo dada mlietambulishana kwa wazazi cyo chaguo lako, angekuwa chaguo lako ucngetaman m'mke mwngne nje kwa kigezo cha urembo.. Bado kavulana ww, utapokuwa utaacha
 
Huyo hujampenda ila Umemtamani,unafikiri kumpenda mwanamke kweli ndio inatokea kiboya hivyo hata hujamsoma tabia?

Ni utoto tu ukikuwa utagundua hilo kosa.
 
Hamjaonana unamsifia hivyo mkionana sijui itakuwaje
 
Kweli nimemtamani maana Nampenda mchumba wangu saaana na siwezi kumuacha hata iweje ila sasa hili toto niliache kirahisi hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…