Home tutor Dar
Senior Member
- Feb 23, 2025
- 114
- 139
Watu mbalimbali wamekuwa wakijiuliza, ni kwa nini baadhi ya mawaziri maarufu na waliotarajiwa wamewekwa pembeni katika uteuzi wa Baraza jipya la Mawaziri? Je, ni kushindwa kutimiza majukumu yao? Ni mabadiliko ya kimkakati? Au ni nafasi ya kuwapa wengine fursa?
Mawaziri walioachwa kando awamu hii ni pamoja na:
1. Hussein Bashe – aliyekuwa Waziri wa Kilimo
2. Innocent Bashungwa – aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani
3. Damas Ndumbaro – aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria
4. Jenista Mhagama – aliyewahi kuwa Waziri wa Afya
5. Pindi Chana – aliyekuwa Waziri wa Maliasili
6. Selemani Jafo – aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara
7. Doto Biteko – aliyekuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati
Soma pia PostGE2025 - Rais Samia atangaza Baraza la Mawaziri na Manaibu waziri
Maswali ya kujiuliza kwa mjadala:
Karibu tujadili kwa uhuru na hoja !

- Je, ni vigezo gani Rais alitumia kuwapanga upya au kuwaondoa?
- Je, waliotolewa hawakufanya vizuri?
- Je, hii ni nafasi kwa kizazi kipya au njia ya kurekebisha mwenendo wa serikali?
- Una mtazamo gani kuhusu mabadiliko haya?
- Je, unaamini waliowekwa pembeni wanaweza kurejea tena?
Karibu tujadili kwa uhuru na hoja !