Je, ninaweza kuvuna kweli?

Je, ninaweza kuvuna kweli?

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
4,426
Reaction score
9,296
Wakuu nimetengeneza app sasa niliweka matangazo ya admob lakini hayaonekeni nikaamua niingie startapp na matangazo nayaona katika app yangu ila sijajua kama mtandao huu unalipa na nitapata kiasi gani kwa every user atakaeona tangazo lao najinsi gani nitaongeza mapato yangu

You can install na kuitumia
 
Ckukatishi tamaa ila unahitaji Traffic ya KUTOSHA yaaan ili u-earn walau $1 kwa siku App yako watu watembelee 1000 kwa siku sasa ili utengeneze $100 upate watu kama 100k ivi ...... kazi njema
 
Duuuuuh je kunanjia zozote za kuboost traffic
Hakuna njia zaidi ya kuweka content za maana au mambo ya maana yatayovutia watu wapate kiu ya kutembelea App yako kila dakika/saa/siku

Utakutana na website au watu wataokwambia wanaweza kuboost traffic lakn % kubwa ni utapeli ata ukilipia watatumia robot kuboost na Robot zinadetectiwa na admob na Admob wakishajua unatumia robots kuongeza traffic wanaweza kukuban kwa mda...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom