busy bees
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 2,249
- 1,348
Kiongozi hilo tayari ni tatizo ... ni kweli una kesi ya kujibu ... kosa ulotenda ni kuwahi kumrejeshea hiyo 90 pasipo kuwepo mtu yeyote kama shahidi ... hasa baada ya kugundua ULAGHAI na MCHEZO MCHAFU alocheza na nia yake ya KUKUUZIA KESI ..Nimekusoma ila kwanini wasimftilie walie mtumia wanifwatilie mimi
Badayakjua jama kaningiza kwenye matatizo nilimfwa nikamwambia
Alichonijibu nikwamba nipe hiyo ela niliyokupa alf wakija walete nyumbani unapajua kwakigezo kwamba mimi sina kosa naiyo line aliyo tumia kunitumia ela niyawakala nikampa ela yake nimewambia jamaa waje niwapeleke kwa mtu wao wao wanadai awamjui huyo wananijua mimi nilie toa ela
Ungemwahidi kuwa utamletea hiyo pesa then unaweka mtego ...