Je, nimwamini huyu mwanamke?

Je, nimwamini huyu mwanamke?

Mdomo mrefu.... Angalia utavuliwa nguo sokoni kariakoo mchana kweupeee.....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
4836dc1bc922c1a184d54b5bc6f7c898.jpg
 
Mwambie ulishafahamu tangu zamani kuwa anakusaliti ila kama anakataa bhasi ale kiapo hata hivyo hawezi kubali kama amekusaliti. Kuwa makini na huyo mwanamke, aidha umuoe na kukaa naye karibu au uache.
Nimekuelewa waito
 
Back
Top Bottom