Jamani naombeni ushauri,
Nina mchumba yuko kijijini nimezaa nae mwaka jana nikaenda masomoni haki yake nimekuwa nikimpa napoenda likizo but mwezi ulopita nikamjaribu kuwa kuna kitu nakihisi akaogopa sana akataka ajue ni nini nikamwambia kuna siku nitakwambia.
Nikajifanya napotezea baada ya wiki mbili akanitumia SMS za ushauri eti ametukanwa na mke wa jirani yake kuwa anatembea na mumewe ambae ni mfanyakazi mwenzangu, sikumjibu chochote nikahisi huyu anajiwahi au amejua kuwa najua ndo maana niko kimya.
Akanitumia msg za huyo jamaa akimtongoza kwa kuwa amesingiziwa hivyo watimize maneno hayo kwa kufanya kweli pia sikumjibu mana sijapata jibu la kumpa wala nimwambie nini.
Alishawahi kufanya kosa nikamsamehe toka hapo sikuwa na mashaka nae sana hadi leo jamani, nambieni mazingira hayo naweza kuwa napumbazwa na huyo binti au ukweli ukoje hapo.