Je nimuoe au nimzalishe tu?

hivi hamkuambiwa msizini!
sasa anataka ndoa ya nini wakati tayari mnagegedana, acheni unafiki maana mungu ameshawaona mlivyokuwa mnazini
 
Masters ya accountancy mhhhhhh........
 
Wewe jamaa kama muongo muongo hivi, ngoja nitarudi
 
Huna uhakika kama anakupenda vyote achana navyo we endelea kusuuza rungu au mpige chini atafute mwingine
 
Kama nimeelewa vizuri najaribu kuona kama huyo mwanamke anahitaji mahali pa kujituliza, ushauri wangu ni kwamba, kama huna mipango nae kwa baadae ni bora ukampa ukweli na kumwacha aende kujitafutia kiota kingine kuliko kuendelea kumpotezea muda na anazidi kuzeeka
 
Humchukua mvulana miaka mingi hadi kuwa mwanamme kamili....lakini vile vile humchukua mwanamume dakika moja tu kuonekana mvulana.....

This is too low for a GENTLEMAN.....
 
Wewe nawe kwanini unaendekeza michepuko...baki njia kuu
 
Sasa si unamgegeda bado..sasaa unazani ushauri gani unakufaa?
 
Huyu anaweza akawa mdogo wake the General Galadudu
Galadudu na huyu wote ni wale wale,

hivi galadudu yule manzi aliemgegeda tigo kwa kutumia mafuta kumbe demu ni muathirika, tulimshauri akapime ameshaleta mrejesho.... Hahaha atakuwa ameshapata majibu ndo maana kimyaa, sasa huyu nae anafuata nyayo[emoji28]
 
Kama huna nia ya kuoa...Usioe wala usimzalishe. Kwenye maisha unaweza ukafanya maamuzi ambao yanaweza yakakucost sana.Kama upo vizuri na mkeo basi..tulia nae. Sunna ya Mke wa pili inatekelezwa kwasababu kadhaa na sio tamaa.
 
Galadudu bado hajaleta feedback
 
Kwanini Utafute shari na salama ipo? wewe ndio unaemjua zaidi kama yuko ki ndoa,huyo mwanamke anakuhitajia wewe kwa lolote kama matumizi yakumlipia nyumba,hela ya saloon chakula ua anajitosheleza mahitaji yake mwenyewe ,wewe kazi yako kubwa ni kwenye 6 kwa 6?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…