Je nimuoe au nimzalishe tu?

Je nimuoe au nimzalishe tu?

Intelsat

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
323
Reaction score
533
Wakuu kuna mdada kajichanganya sana kwangu nahsi anawinda ndoa tu age yake imesogea sana yuko 35 sasa ana masters ya Accountancy mimi nina mke tayari hilo anajua ila anataka nimuoe kama mke wa pili sasa sina sure kama kweli ana mapenzi ya dhati au anatafuta ndoa tu atoe gundu namgegeda kwa machale sana mana aliniambia kama sitaki ndoa basi nimpe mtoto wakuu nahitaji ushauri wenu je nimpe ujauzito au nimuoe tu kumuondolea Hilo gundu analowaza jua linazama kwa upande wake
 
We kila siku una thread mpya?
 
Ikiwa dini unakuruhusu Oa kabisa.....! Ikiwa dini haikuruhusu, hadi liana Na mkeo kwanza kabla ya kutia mimba au kumfanya
 
Why uamuzi wa kuleta kiumbe kingine uhitaji ushauri?
wewe huwezi amua nini ufanye?
next time utatuuliza umtunze mwanao au la?
 
Kama Wewe ni Muislam Muoe kama mke wa Pili.. ila ushauri wangu ni kwamba Ndoa yako itaingia Migogoro maana Huyo Mwanamke anaumri mkubwa na Anataka ndoa Tu hapo Mapenzi huwa yanaonyeshwa Under 30.....

Kama Ni Mkristo.. Ustoke Nje ya Ndoa Yako Acha Mpango wa Mungu kwa Huyo Mwanamke utimie kila Mtu amepangiwa Cha Kwake
 
Back
Top Bottom