Je nimueleweje?

Je nimueleweje?

kiloleni

Member
Joined
Sep 20, 2012
Posts
91
Reaction score
20
Nina rafiki yangu wa kiume ambaye tunapendana sana, ila ana ana manbo ambayo simuelewe ndugu yenu. Mkitofautiana tu kidogo kwa hali ya ubinadamu, ukimpigia simu hapokei, ukimtumia sms hajibu anakaa kimya. Sasa ajabu ameniwekea masharti ya kuwasiliana naye nayo ni sms kwa siku basi. Nimueleweje?
 
Na ww uchune usikilizie kama naye anakupenda atakutafuta. Ngoma droo!
 
Beby! Mapenzi hayanaga limitation ! Piga nkupgie,text nkutext hata saa nane za ucku ! Ukiona hvyo analake jambo yupo anaye wasiliana muda wote! Em shtukaga nawe khaa!
 
jama mbona haeleweke mambo hayo yamepitwa nawakati kwa sasa ni uwazi na ukweli kama kuna matatizo yamejitokeza basi mnatakiwa muwekane sawa na mambo yaendele sasa kutokupookea simu hakujengi bali kunabomoa kabisa maana kama kuna tabia anachukuiwa nayo inabidi awe wazi. Ushauri wewe zungumza nae na mwambie hizo tabia si rafiki kwako na huzipendi kama kuna jambo ambalo linatakiwa kuzungumzwa mnatakiwa kuwa pamoja na kuzungumza.
 
Lipo tatizo......chunguza tu utajua!!!!!!ujue uliye naye karibu ndo waweza fahamu tabia zake.
 
We umesema huyu ni rafiki yakooooo au mpenzi wako....kama ni rafiki tu basi sio ishu usicomplain sana..
 
^^
Usimwache,,anapima how far ur love can travel from you to him.
^^
 
We umesema huyu ni rafiki yakooooo au mpenzi wako....kama ni rafiki tu basi sio ishu usicomplain sana..
bonna huyu ni rafiki yangu ambaye urafiki wetu ni tangu tupo chuo mwaka 2009. kaisha kuwa kama ndugu wa damu ila sasa hivi anabadilka.
 
jama mbona haeleweke mambo hayo yamepitwa nawakati kwa sasa ni uwazi na ukweli kama kuna matatizo yamejitokeza basi mnatakiwa muwekane sawa na mambo yaendele sasa kutokupookea simu hakujengi bali kunabomoa kabisa maana kama kuna tabia anachukuiwa nayo inabidi awe wazi. Ushauri wewe zungumza nae na mwambie hizo tabia si rafiki kwako na huzipendi kama kuna jambo ambalo linatakiwa kuzungumzwa mnatakiwa kuwa pamoja na kuzungumza.
asante kwa ushauri naufanyia kazi.
 
Nina rafiki yangu wa kiume ambaye tunapendana sana, ila ana ana manbo ambayo simuelewe ndugu yenu. Mkitofautiana tu kidogo kwa hali ya ubinadamu, ukimpigia simu hapokei, ukimtumia sms hajibu anakaa kimya. Sasa ajabu ameniwekea masharti ya kuwasiliana naye nayo ni sms kwa siku basi. Nimueleweje?
Wewe ni 'Me' au 'Ke'?
 
hahaha umenimkumbusha mtu fulani dah yaani it sounds just like him..Hakupendi huyooo...
 
labda kweli, ila ajabu ikifika jioni hajapata sms ya kutoka kwangu anadai "mbona umenichunia leo rafiki yangu?' nashindwa kumwelewa make yeye ndo aloweka masharti.
 
Back
Top Bottom