father superior
Member
- Dec 13, 2015
- 21
- 2
sasa wewe unashauri au unafoka!Ulirudiana na nuksi?
Acheni kuwabebesha mizigo yenu wanawake
Hakuna mtu ana nuksi.
Kwani kuna sheria inakulazimu uwe naye?
TAFUTA ASIYE NA NUKSI!
ila NUKSI sio tabia ya mtu
Nuksi ni kama hukutimiza wajibu wako na unatafuta wa kumlaumu.
MKIPATA KAZI MNAWAITA DADA ZETU NUKSI.
MKIFUKUZWA KAZI MTAWAITAJE?
sasa wewe unashauri au unafoka!
Kweli kabisa mkuu, na huyu jamaa ipo siku atakua na ulemavu zaidi ya huyo binti na yatamfika makubwa ambayo hayatasimulika.Hauna mapenzi ya dhati kwa huyo dada kijana.
Mtu anaumwa na kujiburuza chini kuja kukupokea na kukupikia wewe unaona ni sifa na upendo kweli???
Tena unasema kwa kujiamini kabisaa, ni mwanaume lakini sio mwanaume bora au kwa kidhungu wewe sio gentlemen.
Ushauri wangu usimpotezee ni vyema kumuacha sasa kuliko kuendelea kuwa nae kama huna furaha naye tena.
Anaweza kukulaumu kwa sasa ila mbeleni huko atakuja Ikuelewa na kushukuru pia, unavyoendelea nae unazidi kumpotezea muda wake na wako pia.
Kuwa na siku njema,
nikikukwaza niwie radhi saanaaaa.
ila mpaka anamtengea chakula unahisi ni upendo gani jamaa anaonyeshwa mkuu... huyu jamaa anahitaji counselling....Mkuu umenisikitisha sana, hata mimi nakwambia hutumii akili, yani unakubali mpenzi wako mwenye matatizo ya miguu akuhudumie pasipo na msaada wako kweli inaingia akilini!!!? wewe ulipaswa kuwa mfariji kwake na mtu wa kwanza kumsaidia kutokana na hali yake, na ukimuacha nakuhakikishia utapata laana na NUKSI kubwa kuliko hiyo unayofikiri ni laana, Mungu sio wa mchezo mchezo.
Jaribu kufikiri ingekuwa wewe ndio umepata huo ulemavu halafu mkeo anasubiri umuandalie chakula na ulemavu wako bila kumsaidia, ungeendelea kumpenda?? lakini huyo binti pamoja na hali yake, tabia yako mbaya bado anakupenda. Mkuu narudia tena tumia akili kuamua na kufikiri. Kiukweli umeniharibia siku yangu kwa huo ukatili unaomfanyia huyo binti mlemavu.
Itakua huyo dada yuko njema mfukoni ndo mana inakua ngumu kumuacha [emoji16]sikilza mkuu wala usipate shida wewe usimuache.... ila Niachie mim.. hao twins bothers ntawamudu tu
Huyu binti hana kazi. Kipindi hajaugua alikuwa akifanya kibarua tu. Pesa aliyojitolea kwangu si kubwa ila ukubwa wake ni kule kujinyima yeye na akanipa mimi. Msema ukweli ni mtu wa Mungu.Itakua huyo dada yuko njema mfukoni ndo mana inakua ngumu kumuacha [emoji16]