Je, nimeathirika kweli?

hahahaha watu wa pwani kwa kukosa elimu ndio huongoza kwa yote uliyo taja hapo juu

kuna wazinzi kama waislamu
Umekosa hoja unataka kuupeleka mjadala kuongelea watu na Uislam.

Hunipeleki huko labda ufungulie uzi wake, usiharibu uzi wa watu.
 
Umekosa hoja unataka kuupeleka mjadala kuongelea watu na Uislam.

Hunipeleki huko labda ufungulie uzi wake, usiharibu uzi wa watu.
tunazungumzia uzinzi
ndo nimechangia kuna wazinzi kuzidi wa dini yako

hayo mawaidha kawape ndugu katika dini yako si mimi
 
Nani aliyekudanganya kuwa kila Ukilala tu na Mwanamke Muathirika wa VVU basi ni automatic kuwa Utaupata / Utaathirika?

Nimeshalala na Wanawake Waathirika Watano mwaka 2004 na mwaka 2012 ( tena bila Condom na huwa situmii Condom nikiwa Nabandua ) ambapo Wawili niliwajua na Watatu nilikuja Kuwajua baadae tulipopima na mpaka leo mwaka 2024 sina VVU / HIV na naendelea Kuwabandua / Kuwatia kwa kwenda mbele.

Kudadadeki....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…