Umeshika sana dini Mkuu,pole sana kwa hilo ila sijaona shida hapoBwana awabariki
kama huna ushauri kaa kimyaUasherati na uzinzi ni uchafu, usiukaribie.
Unalo hilo.
Huwezi kushika dini halafu unaingiza wanawake ghetto kuzini nao. Hizo dini ni utapeli kama waumini wake ndio mnakuwa watu wa hovyo namna hiyo.Umeshika sana dini Mkuu,pole sana kwa hilo ila sijaona shida hapo
Mkuu usihukumu bila kujua historia ya mtu,,,sahizi nipo sawa namtumikia MUNGU kipindi kile ni kweli maana nilikuwa sijaijua kweli ya MUNGU!Huwezi kushika dini halafu unaingiza wanawake ghetto kuzini nao. Hizo dini ni utapeli kama waumini wake ndio mnakuwa watu wa hovyo namna hiyo.
Kwa hiyo kipindi hicho nani alikua anayaongoza maisha yako?Kumbuka kipindi hicho nilikuwa sijamkabidhi Yesu maisha yangu ayaongoze!!
Aminaaaa saaana mkuuu,,, MUNGU akuongoze pia akuzidishie hekima zaidi.Kama hamna dalili za kuivilia damu au weusi usio wa kawaida sidhani kama kuna tatizo , ila pia jivhunguze vyema ukiona bado unapatwa na mashaka
Basi ni vyema uone wataalamu maaba wao wanaweza iukupa jibu sahihi zaidi
Yote kwa yote, hongera kwa kumkabidhi Yesu maisha yako, hakika anaokoa na akuongoze uweze kuongoa na wengine
😂sasa afanye nini kama imejiletaHuwezi kushika dini halafu unaingiza wanawake ghetto kuzini nao. Hizo dini ni utapeli kama waumini wake ndio mnakuwa watu wa hovyo namna hiyo.
😂jiamini[emoji3][emoji3]Ahsantee mkuu,,nikajua kwa hali hiyo labda baadae itaathiri utendaji kazi,,
Nimeshajua unacho waza...😜Umeshika sana dini Mkuu,pole sana kwa hilo ila sijaona shida hapo
Kuna mmoja aliambukizwa gono sugu na mwa J, basi aliookuja kuomba ushauri hapa watu wakamuambia aweke picha.....Weka picha tuone