Thanks Bro umenielewa weweNajaribu kuelewa... Yaani una duka na ni la kwako mwenyewe lakini hauna mtaji (kwenye hilo duka la kwako mwenyewe... )
na pia kukodisha hautaki pesa ndogo (yaani ukikodisha pesa inakuwa ndogo.... ) unafanya kazi lakini huna mtaji wa kulifungua (hilo duka la kwako mwenyewe yaani... ) sasa Je ukope?
Hapana usikope kwa duka ambalo haujalifungua ingawa ni la kwako mwenyewe!