Je, nikimuoa naweza nikampenda?

Upendo ukamilika ikiwa pande zote mbili zinatoa mchango sio upande mmoja tu ,jitahidi umpende sasa hivi kama utashindwa kabisa usijichimbie kaburi ambalo hutoweza kutoka.Ndoa ni agano la milelee utalala nae utaamka nae kila iitwapo leo.
 
Muoe tu mbona wengine wanapendana upendo unaisha wanaachana and vice versa

Jifunze kumpenda ata kimazoea
 
Angalia vitu vinne tu kama anavyo japo vitatu chukua goma hilo.

1.Dini yake
Hapa kama wewe muislam je nae muislam? Kama mkristo na wewe mkristo?. Oa mtu wa dini yako kuepusha migogoro pia hakikisha mwanamke anaijua dini ili ikusaidie wewe na kizazi chako kiwe cha maana.

2.Uzuri wake
Hapa sio sura tu angalia vyote kuanzia tabia zake,jinsi anavyovaa na mengineyo yanayohusu tabia zake isije ikawa kero kwako.

3.Ukoo wake
Hapa kuna muhimu pia kuna familia zingine si za kuchumbia hadi kuoa utateseka kutokana na matendo machafu ya ukoo wao au magonjwa ya ajabu ajabu kama ya kurithi. Oa mwanamke amabae ukoo wao unavumilika ili ikitokea shida iwe rahisi kusolvika

4.Mali yake
 
Mkuu mimi sijaoa, ila nina mademu ambao hawana sifa za kuwa mke..

Nakushauri tuu kwa uzoefu wangu na wanawake.

Oa huyo binti , hakika oa mwanamke anaye kupenda ndugu yangu na alie teyari hata kuina pesa zake anaweza kukupatia wewe.

Oa huyo binti haijalishi unampenda au humpendi, haijalishi unahisia naye au huna husia naye. Jikaze kiume muoe huyo binti na Mungu awabariki.

"SISI WANAUME WENZAKO TUNA TAFUTAGA BAHATI KAMA HIZ ILA HATUZIPATI KABISA"

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Unakuta unamuacha huyo unaenda kuoa single mother
 
Unampenda sema huna pesa hivyo hauko huru kwake...sie wanaume tunapenda siku 90 tu baada ya hapo ni mapendo.
 
Kuoa mtu anaye kupenda ni nzuri zaidi, kuliko ku oa unayempenda wewe, wanaume ukisha oa ukaishi na mke siku 60 unampenda kwa vile vitu anavyo kufanyia, we oa.
 
Mpende anaekupenda asiekupenda achana nae...........mpaka leo nimeshindwa kuowa kwa sababu sijampata mwanamke wa kunipenda...wengi wao wanaokuja kwangu huja kwa sababu ya njaa walizonazo...
 






Kwa maelezo ya kina SOMA HAPA
 
Mpende akupendae asekupenda achana nae
 
Muoe huyo , ndo mke kabisa.
Kwanza inapaswa yeye akupende sana kuliko wewe Ili mahusiano yaendelee.
 
Usimuoe.
Utamtesa na kwa sifa zake
hastahili kuteseka huyo.
Muache atapata wakumpenda na wewe Mungu atakupatia mwingine utakayempenda.
Kuishi na mtu usiye na hisia nae ni mateso.
 
Hauta pata mwingine mwenye upendo kama huyo...

Ni vigumu sasa katika hizi nyakati kumkuta binti aliestaarabika kama huyo..Pia ukumbuke ni jirani yako na hata wazazi wako wanamfahamu...Angali familia yako itaenda kuadhirika vipi hapo...

Nikushauri mwanamke muaminifu ndie sahihi kuwa nae kwenye mahusiano na anakuwa na nyota nzuri sana, Zingatia familia yako ijayo itakuwa na mama wainagani kwa watoto wako, Usiendekeze hisia za ujanani sana kwani wazee walisema ujana ni maji ya moto..🧐
 
Mzee baba huo mzigo.
Nina scenario km yako ila tofauti huyu wangu sio bikra. Sina hisia nae kabisa na nilimtongoza tu ktk harakati za kutest mitambo.
Kaniganda mwaka wa 3 huu na sijaonana nae tena ingawa anaishi buguruni hapo.
Sometimes asiponicheki nahisi km kummiss flani hivi.
Nimegundua naweza kujifunza kumpenda pia na Badae nimuoe maana ni wife material haswa km huyo wako.
Tatizo ni Kwamba sio bikra ndio ugumu wa kimaamuzi upo hapo.
Huyo wako muoe tu utampenda mdogomdogo maana ndio katoka kwa Bwana huyo.
 
Oa Mwanamke ulie na HISIA NAEE.. anaekupenda! Otherwise utapata tabu sanaa unamgongaa unaweka sura ya Ashura kichwanii.. Ndoa itakuwa kama gerezaa kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…