Je, nikawashitaki au nikubali yaishe?

Hatuangalii tulipodondokea, tunaangalia tulipojikwaa.

Tambua kosa lako litatue na siyo kuwanyooshea watu vidole....

1:- Ni mlevi , je unakunywa na nani?......Hao hao wanakijiji.......kwanini?......kwa sababu wewe Ni masikini mwenzao (Wanavyokuona).

Hivyo Basi wanakumudu.

SULUHISHO.

1:- Kubali kosa la kulewa (uungwana) Ila usiongee au kuwapatia majibu mengi watakushusha zaidi...

2:-Epukana kuweka ukaribu nao Wala kulewa nao, Pongezi kwa kuwa na usafiri, usinywe hapo kijijini penda kulewa ugenini usipofahamika hautokuwa na limitations Wala wasiwasi.

3:- Acha umbea wa kujipendekeza kwa viongozi (Diwani,wanakijiji, wafanyakazi wenzio,Watejdaji, wenyeviti, Ishi wewe....

Mwisho Fanya maisha yako kuwa Siri yako, wewe Ni mwanaume siyo mwanamke kuwa na mipaka...
 
Umeandika ukiwa mlevi..halafu unaonekana mjivuni!
 
Asante Kaka nimekuelewa illa kuhusu kujipendekeza kwao sio kweli mkuu hasa hawa viongozi wa vijiji Ila pia kuhusu kunywa nao ndiyo shida ilipoanzia ,nimekuelewa Kaka karibu mbeya upate hata tuviazi sado twa chipsi kaka
 
Serikali inatumia vigezo gani kuajiri watu wa sampuli yako? Elimu yenyewe unakuta umesomea dar star college Tandale ndani ndani huko ila unajiona wewe ni rais wa kijiji.
Hapana Kaka sijasoma huko uliptaja mkuu .
Wapi nimejikuta raisi wa Kijiji ndugu ? Embu nisome tena mkuu Sina mahali nimeonesha kujikweza lakini Sina mahali nilipoonesha majivuni Kaka .

Naomba pata muda nisome tena ,au wewe ndiye mzee Madulo uliyesema natongoza wake zenu na kamke kako eti nilikatongoza ?

Kaka hivi kweli Mimi nikatongoze ka mkeo kwa kipi ndugu ,sura hakana ,shepu mbingu na ardhi ,rangi malaika aingilie Kati .

Ndugu ikiwa ni Vita ya Kahawa Mimi kuuza mzigo mkubwa CPU njoo nikupe mbinu za wakulima kukubaali kukupa mzigo Ila msiniundie zengwe rafiki yangu .

Nimetoka mbali kuja kufanya kazi sehemu yenu sio kuwa nilipotoka nilifukuzwa hapana ni uzalendo wangu kukubali kuwatumikia ,kuwalinda na kuhakikisha haki na tiba mnazipata kwa wakati hivyo punguzeni chuki na mimi
 
Una shida, ondoka hapo hiyo Ni kengele ya hatari. Wanakijiji Ni hatari mno wakishakuwa na Element za chuki juu yako. Watakuua kweli!
 
Siku ukikatwa korodani utajua hujui..eti shepu..mimi ni baba yako, mama yako ndo size yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…