Je nii wakati wa NATO kuidhinishwa kuja kulinda amani ya wananchi Tanzania?

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
11,301
Reaction score
12,952
Wakuu salamu , na poleni na tunayopitia kama wananchi watanzania ,Mungu yupo kazini.

Husika na mada tajwa juu ,

Moja kabla ya yoyote ikumbukwe watz wengi tupo kwenye majonzi makubwa ya kuondokewa na wapendwa zetu.

Ila binafsi nionavyo mpaka sasa mambo yajayo sio mepesi tusidanganyane hapa, machungu bado makubwa ,wala watawala wasijidanganye kwamba wataweza pambana na hasira ya wananchi pale watakapochokozwa hata kama wanasema yatakuepo Maandamano 9D ya amani , elewa mtu akisha umwa na nyoka ,

Sasa ni swali langu

je ni wakati wa NATO kuja kulinda amani ya Watanzania?

Kama ambavyo NATO imekua ikifanya kwenye Mataifa Mbali mbali?

Na je utaratibu wa Kuingia Taifa flani ili kulinda amani upo vipi,?

Na Tanzania kama Taifa sio candidate wa hili, ukifikili kilichotokea kwa wananchi 29Oct na sasa inaelekea 9D?

Thanks
 
Wakuu salamu , na poleni na tunayopitia kama wananchi watanzania ,Mungu yupo kazini.

Husika na mada tajwa juu ,

Moja kabla ya yoyote ikumbukwe watz wengi tupo kwenye majonzi makubwa ya kuondokewa na wapendwa zetu.

Ila binafsi nionavyo mpaka sasa mambo yajayo sio mepesi tusidanganyane hapa, machungu bado makubwa , wala watawala wasijidanganye kwamba wataweza pambana na hasira ya wananchi pale watakapochokozwa hata kama wanasema yatakuepo Maandamano 9D ya amani , elewa mtu akisha umwa na nyoka ,

Sasa ni swali langu

je ni wakati wa NATO kuja kulinda amani ya Watanzania?
Kama ambavyo NATO imekua ikifanya kwenye Mataifa Mbali mbali?
Na je utaratibu wa Kuingia Taifa flani ili kulinda amani upo vipi,?

Na Tz kama Taifa sio candidate wa hili, ukifikili kilichotokea kwa wananchi 29Oct na sasa inaelekea 9D?

Thanks
Hakuna haja ya NATO tutakuwa tunacheleweshana mambo yameshaharibika huyu hapaswi kuendelea kupumua katika hii ardhi

Tuendelee kusoma visomo vyetu ili parapanda ilie na bendera nusu mlingoti iweze kupandishwa mapema kabla Mwaka huu haujaisha

Kapora uchaguzi, rasilimali za nchi na uhai wa Ndugu zetu na mbaya zaidi kawafukia kibabe na bado anajizima data Kwamba wananchi walimchagua huku walikuwa hawamtaki ameshindwa KUSIMAMIA RASIMALI za nchi ili ziwanufaishe watanganyika katika kuwapa fursa za Ajira na kupunguza ugumu wa Maisha kwa wananchi yeye anakula tu kwa urefu wa Kamba yake na Abdul na kuendekeza tamaa na ufisadi uliokithiri na kutulingishia walipa Kodi wake na Rolls Royce na dharau zake za nywi nywi nywi nywi nywi

Bado anatuteka na kutuua wananchi ili kutujengea hofu wananchi tukae kimya na tusahau haya mauaji aliyoyafanya tuendelee kumuogopa

Kaua Ndugu zetu waislamu waliokuwa msikitini wakiswali wakafuatwa wakapigwa za vichwa na mbaya zaidi kawafukia kibabe

Huyu Shetani hapaswi kabisa kuendelea kupumua katika hii nchi anapaswa akalale panopastahili na shetani wake aliyemtuma kutoa oda ya shoot to kill pamoja na Kuteka na Kuua watu

Tunataka huyu Shetani wa Kuteka na Kuua asiwepo tena katika hii ardhi baada ya kumfukia huyu Shetani mla damu za watu
 
hivi nyie watu mna akili timamu?.
Unamanisha nini ,nimeuliza masawali jibu kwa hoja ,kama hatuna akili mbona tunajua ccm imekwapua uchaguzi na hapakua na uchaguzi, watu wameuwawa kikatili sana , aya twambie wewe mwenye akili hili ni kweli au sio kweli, pumbavu
 
Hao NATO hawajawai leta amani NCHI yeyote ile Tangu hicho chombo kimeundwa.

Ni mara mia, Tubaki na CCM kuliko hao wapumbavu.

Hawa kijani tutacheza nao mwanasesere mdogo mdogo mpaka tukae mstari mmoja
 
Ccm sasa imeleta amani ipi mpaka sasa, elewa wananchi wengi ukiondoa baadhi ya wanaccm wanataka serikali ya mseto then uchaguzi uje taifa likiwa limetuli, ila baadhi yao wapo wameng'ang'ana , so unafikili kuna amani hapa ,waje wawalinde wananchi , tulipofikia, leo nakwambia yoyote atakaekuja kuwashika mmkono watanzania katika madai yao ya msingi bila kujali ni mbaya kiasi gani ,ataungwa mkono na wananchi.

Hii ilitokea Uganda wakati tunambamiza yule Dictator Amini ,wananchi walikua bega kwa bega na JWTZ, leo nasi wananchi wamefikia huko
 
Nimesoma mada nimesoma comments... nimegundua hata mnachokisema hamkijui, nachoka sana mimi kinyozi wa clemence Mwandambo.

NATO ni nini?
Malengo ya kuanzishwa ni yapi?
Nini sababu ya majeshi ya nchi fulani kwenda kulinda amani nchi nyingine chini ya mwamvuli wa UN?
 
Toa elimu mkuu
 
Hakuna haja ya NATO tutakuwa tunacheleweshana mambo yameshaharibika huyu hapaswi kuendelea kupumua katika hii ardhi

Tuendelee kusoma visomo vyetu ili parapanda ilie na bendera nusu mlingoti iweze kupandishwa mapema kabla Mwaka huu haujaisha

Kapora uchaguzi, rasilimali za nchi na uhai wa Ndugu zetu na mbaya zaidi kawafukia kibabe na bado anajizima data Kwamba wananchi walimchagua huku walikuwa hawamtaki ameshindwa KUSIMAMIA RASIMALI za nchi ili ziwanufaishe watanganyika katika kuwapa fursa za Ajira na kupunguza ugumu wa Maisha kwa wananchi yeye anakula tu kwa urefu wa Kamba yake na Abdul na kuendekeza tamaa na ufisadi uliokithiri na kutulingishia walipa Kodi wake na Rolls Royce na dharau zake za nywi nywi nywi nywi nywi

Bado anatuteka na kutuua wananchi ili kutujengea hofu wananchi tukae kimya na tusahau haya mauaji aliyoyafanya tuendelee kumuogopa

Kaua Ndugu zetu waislamu waliokuwa msikitini wakiswali wakafuatwa wakapigwa za vichwa na mbaya zaidi kawafukia kibabe

Huyu Shetani hapaswi kabisa kuendelea kupumua katika hii nchi anapaswa akalale panopastahili na shetani wake aliyemtuma kutoa oda ya shoot to kill pamoja na Kuteka na Kuua watu

Tunataka huyu Shetani wa Kuteka na Kuua asiwepo tena katika hii ardhi baada ya kumfukia huyu Shetani mla damu za watu
Muamala umeshasoma kutoka Kenya... Hata ukimaliza kipindi hicho tayari umeshalipa Kodi ya mwaka nzima kenge wewe
 
Waache kwanza tuyauwe ma ccm na familia zao na mipolisi.

Tukiyamaliza ma ccm na mapolisi kutakuwa na amani.
 
Takataka.

Nato ni umoja wa kujihami wa nchi za magharibi. Kuna hatari gani kwao dhidi ya taifa Tanzania?

Wangeenda DRC, Sudan, Somalia, Nigeria, afrika ya kati au ikiwezekana wakaweke base pale Ukraine 🇺🇦, ila kwa sababu Ukraine sio mwanachama ndio maana wanashindwa kufanya majukumu yao kwa asilimia 100.
 
Back
Top Bottom