kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,714
- 6,490
Nisamehe kaka ila lilikuwa swali kama maswali menGine tuBiashara gani ninayotangaza embu kuwa na akili wewe
ðŸ˜
Nisamehe kaka ila lilikuwa swali kama maswali menGine tuBiashara gani ninayotangaza embu kuwa na akili wewe
What goes around comes around
Watoto wako wa kiume .......
Muumba aliumba ile sehemu kwa kupitisha mavi na kujamba wewe unamsahihisha! Ukishajiuliza hivyo na kutafakari kwa makini "utaacha "
Wewe nadhan hio tabia huwezi achaa, maana unaonekana unapenda uzinifu na pepo la uzinifu unalo kitambo!! .. Hebu rejea uzi wako wa 2019
Unasubir ushauri nawe utoke kwenye mchezo huoDuh mji mzito huu!
Pole sana mkuu.Nami nasubiri ushauri wa wataalamu maana na ujanja wangu wote sina comment hapo.


Kwahiyo..
Mtumia smartphone (Nomophobia) Sana ana = Jina Android
Mtumia pombe ana = Jini TBL
Anaye sex na wanawake sana = Jini papuchi.
Work addiction = Jini high pay..!!!
Hayo ya jini mahaba sijui jini kisirani TUACHE KUAMINI UJINGA.
Na tupunguze kumsingizia shetani dhambi zisizo muhusu.
#YNWA





