bunyua
Member
- Dec 29, 2018
- 16
- 15
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita ila sina uelewa wowote kwenye kozi mana hatukupewa elimu yoyote kuhusu kozi, Sasa nimechaguliwa UDSM -Bsc.Busness information tech, ila sielewi hii kozi badae nakua mtu gani.
Hapa nafikiri nibadili kozi niende education, mana inaeleweka nitakuwa mwalimu labda badae, ila nikafikiri nipate ushauri wa kina nisije kuwa nimeacha kozi nzuri au mbaya pia na pia ningeomba utaratibu wa kubadili kozi mnisaidie.