N nass ngamia New Member Aug 12, 2019 1 0 Aug 12, 2019 #1 Wanajamvi mmi nipo tanga napenda sana ngamia ila sijui ntapata wapi kwa bei nafuu niwezee kufuga#msaada kwenye tutaa
Wanajamvi mmi nipo tanga napenda sana ngamia ila sijui ntapata wapi kwa bei nafuu niwezee kufuga#msaada kwenye tutaa
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 51,993 69,392 Aug 12, 2019 #2 UARABUNI KWENYE NCHI ZA MAJANGWA WAPO WENGI SANA, HATA SOMALIA NADHANI WAPO
Steven Nguma JF-Expert Member Dec 6, 2016 1,074 1,143 Aug 13, 2019 #4 Arusha utapata na namanga pale mpakani kuna jamaa anao anafuga. Waweza vuka kwenda kenya ukifika njiapanda kabla ya mlolongo lipo shamba la ngamia kubwa sana pale utapata.
Arusha utapata na namanga pale mpakani kuna jamaa anao anafuga. Waweza vuka kwenda kenya ukifika njiapanda kabla ya mlolongo lipo shamba la ngamia kubwa sana pale utapata.
Mbao za Mawe JF-Expert Member May 11, 2015 23,373 54,758 Aug 14, 2019 #5 Niliwahi kuwaona Ngorongoro kwa wale jamaa zetu.
google helper JF-Expert Member Jun 11, 2013 9,629 13,694 Aug 14, 2019 #6 nass ngamia said: Wanajamvi mmi nipo tanga napenda sana ngamia ila sijui ntapata wapi kwa bei nafuu niwezee kufuga#msaada kwenye tutaa Click to expand... tutani
nass ngamia said: Wanajamvi mmi nipo tanga napenda sana ngamia ila sijui ntapata wapi kwa bei nafuu niwezee kufuga#msaada kwenye tutaa Click to expand... tutani
hunk255 Member Dec 17, 2015 91 132 Aug 18, 2019 #8 nass ngamia said: Wanajamvi mmi nipo tanga napenda sana ngamia ila sijui ntapata wapi kwa bei nafuu niwezee kufuga#msaada kwenye tutaa Click to expand... Nichek pm nikupe muelekeo
nass ngamia said: Wanajamvi mmi nipo tanga napenda sana ngamia ila sijui ntapata wapi kwa bei nafuu niwezee kufuga#msaada kwenye tutaa Click to expand... Nichek pm nikupe muelekeo