Je, ni wapi ninaweza kupata ngamia wa kufuga?

nass ngamia

New Member
Aug 12, 2019
1
0
Wanajamvi mmi nipo tanga napenda sana ngamia ila sijui ntapata wapi kwa bei nafuu niwezee kufuga#msaada kwenye tutaa
 
UARABUNI KWENYE NCHI ZA MAJANGWA WAPO WENGI SANA, HATA SOMALIA NADHANI WAPO
 
Arusha utapata na namanga pale mpakani kuna jamaa anao anafuga. Waweza vuka kwenda kenya ukifika njiapanda kabla ya mlolongo lipo shamba la ngamia kubwa sana pale utapata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom