Hutaki kuwaonyesha waache tabia yao ya ku-guess?Mwe mwe mweeeh!! Tutakimbiana ujue
nna uhakika iyo picha ya kwanza inakufaa, imagination yake ipo rightUnanikubali kiaje mkuu mwandiko au hiyo imagination ya britanicca
Kuguess ndio rahaHutaki kuwaonyesha waache tabia yao ya ku-guess?
Mko nje kabisanna uhakika iyo picha ya kwanza inakufaa, imagination yake ipo right
financial services ..njoo huku ma-supertall mnaitwa....😂😂😂😂😂 warefu oyee
Mimi natamani sana siku moja nikuone,Sina afya hii mkuu britanicca. nili fanya diet nikapungua sana sasa tatizo ile minofu ya kwenye kifuani nayo imekwenda
Kabisanna uhakika iyo picha ya kwanza inakufaa, imagination yake ipo right
Ahahahah.Hata mm.Dahhhh.....
Mimi ndio sijawahi hata kuwaza
Mkuu vipi bado una taswira iyoiyo kwenye namba 5?
...nichomoe betri kwa Manengelo..!!???Hapo kwa demiss duuh