britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Kila nikutanapo na majina haya
1. kapeace
Nadhania kichwani kwamba ni mdada wa makamo ambaye ni mrefu si sana ila ana mguu fulani wa bia, ambaye natambua fika kwamba kaolewa na mumewe ndo anafaidi sifa hizi ninazotoa hapa, navuta taswira kwamba ni rangi ya chocolate fulani ivi yaan si mweusi sana wala si mweupe, ana sura ya mvirimngo kwa mbaali,
wakisema niweke na mfano wa picha mi natupia hii hapa kwamba nahisi yuko hivyo,
2. manengelo
huyu namuona kama kadada fulani hivi si karefu sana lakin kanapenda sana kusuka nywele yaana taswira inanijia hivyo kichwani kabisaaa kwamba haka alafu kana maneno mengi sana ambayo yanachekesha,
rangi yake ni ya kawaida si mweupe sana wala mweusi ni maji ya kunde fulani hivi, alafu kana vi hips kiaina , ni taswira hizo jamani
kwa picha napovuta taswira yake inatokeaga kama ya huyu
3. Sky Eclat huyu ni mrembo wa zamani kwa sasa kama umri unaenda fulani hivi yaana taswira kupitia michango yake inanituma hivyo kwamba sasa havai tena min skirt wala top yeye anatoka na ngua za wapendwa zaidi na anajiheshimu mnoo
taswira ijayo kichwani mwangu
4. sasa huyu shunie nadhani ni mtu mwenye kuwa na weledi sana maeneo fulani kama mtu anayetoa sauti kwa kudeka hivi kitu kama hicho, alafu ngozi lainii na mwenye kupenda kujipodoa ,
5. Demiss huyu Taswira unakuja hivi
JE ni jina gani likitajwa la mwanamke hapa unapata taswira kichwani na inakujaje