Je, ni taratibu zipi zinafuatwa toka mtu anahukumiwa kunyongwa hadi kuzikwa?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,704
Nimekuwa nasikia Adhabu ya kunyongwa ipo hapa Tanzania na inatekelezwa.Swali langu ni je ni taratibu zipi toka mtu amehukumiwa kunyongwa mpaka kumzika?Km.akiisha hukumiwa ananyongwa baada ya muda gani? wapi na nani?Je anazikwa wapi na kina nani,? Je ndugu zake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom