Je ni sawa?

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
5,597
Reaction score
1,016
Je ni sawa kumweleza demu wako wa zamani kwamba umeoa?

Nilikuwa na mwanamke mmoja nilizaa nae, ila sikuwahi kumwambi kama nitamuoa, ila yeye alikuwa na matarajio ya kuolewa na mimi, nikapata mke mwingine ambae ndiye aliyekuwa chaguo langu, mke huyo baada ya kujua nina demu ambae nilizaa nae ila yuko bara huko.
Mke alinishauri nimpigie nimweleze kwamba nimeoa, kweli nilimpigia nikamwambia kwamba nimeoa.. Alichukia sana, kwani alikuwa na matarajio ya mimi kumuoa...lakini hakua chagu langu...

Baada ya kufunga ndoa na yule nimpendae, yule dada alienda kwa sangoma ili kuharibu uhusiano wetu...
Ndoa yetu haina amani tena, tumekaa uchumba miaka 4 kulikuwa hakuna tatizo,

niliamfanyia uchunguzi yule dada akakiri kweli alienda kwa sangoma...

Swali langu,je ilikuwa sawa kwa mke wangu kusema nimpigie simu nimweleze kwamba nimeoa?

Nb: matunzo ya mtoto nilikuwa nampa kila mwezi 50000/=!

Nikimwambia mke wangu kwamba yeye ndo alisababisha mpaka yule dada akafanya mambo mabaya anakasirika...
NAOMBENI USHAURI
 
Ofcz yes!! Mwanamke kujiamin ni muhmu na pale inapobd utetee cha kwako,alifanya uamuz sahii kabsa kumtaarifu huyo bidada ili usiendlee kuchepuka naye by emergency!
 
Hata wewe ungetendewa hivyo ingekuuma sana kimsingi kila mtu anapoanzisha mahusianio hutegemea kuoa au kuolewa na yule alie anza nae mahusiano vinginevyo ni kwa sababu ya zinaaa
Yuko sawa japo siamin katika ushirikina
 
Hata wewe ungetendewa hivyo ingekuuma sana kimsingi kila mtu anapoanzisha mahusianio hutegemea kuoa au kuolewa na yule alie anza nae mahusiano vinginevyo ni kwa sababu ya zinaaa
Yuko sawa japo siamin katika ushirikina

Hata mimi nilikuwa siamini katika ushirikina, lakini tulienda kwa mchungaji akatuambia tufunge siku kumi majibu yatatoka, na yeye pia alifunga kwa ajili yetu, jibu lilitoka sikuamini, alitutajia kila kitu bila sisi kumwambia lolote!
 
kumbe kulea mtoto rahis hvyo? elf 50 kwa mwez! ngoja nimuombe Amu anizalie kamoja!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…