Je, ni sawa anachotaka kufanya?

Hawa wanaume watatuua!!
Maradhi yanaanzaga hivi hivi mnasingizia vitambi sijui cholesterol mara pressure.
kumbe mtu kapigwa tukiooo anaugulia ndani kwa ndani in the name of "ndoa uvumilivu"
 

Tafadhali kula like...! Well said!
 
Afunguke tu,ukwel utamuweka huru,jins mume atakavyo react ndo itampa muelekeo kwmb aamue nn,inauma sana mume akizaa nje wakat yuko ndan ya ndoa,bora umkute tayar ana mtoto.
 
Ndugu mentor
1. Fatuma..Hidaya...so am assuming mume naye ni Juma. Bwana Juma awaoe wote tu na kwakuwa ni mashosti natumai wataishi vizuri tu.

Nijuavyo mimi dini hii inaruhusu kama mwanamke (Fatuma) anamchukia mumewe kuomba talaka na akinyimwa anaweza kujivua (kulhu). Si lazima kwa Fatuma kukaa kwenye hii ndoa kama hataki

2. Bi Fatuma atekeleze maazimio ya moyo wake ila ajue tu kwa kufanya hivyo ni sawa na kujiandikia talaka.

Kama ni kweli... Fatuma akiondoka kupata peace of mind wakati mumewe kazini na mtu mwingine na kimzalisha amejiandikia talaka? Hakuivunja ndoa hiyo mwanaume kwa ku commit adultery on the first place atakuwa kaivunja Fatuma kwa kuchukizwa na kitendo hicho na kutaka space for while?!
 
"If you can't face it,give it your back"
naona hii ndo principle anayotaka kuitumia bi Fatma.
 

Ndugu 64Bits,

Mtoa mada amesema bi Fatuma hataki kumuacha mumewe...bado anampenda. Hivyo basi, kitendo cha kuondoka bila kueleza sababu ya kuondoka ni kumruhusu Bwana Juma kumwingiza ndani bi Hidaya na pengine kutafuta mtoto wa pili, ama nimekosea!??
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…