Kiruke cha Ibwe
Member
- Jun 26, 2009
- 67
- 13
Habari zenu wadau. Leo Mimi naomba kujuzwa swala la marafiki katika ndoa. Je ni sahihi kwa mke au Mume kumkataza mwenzie kuongozana na rafikiake ambae walikua mabest (na bado ni mabest up to now) kwa sababu tu rafiki hana ndoa? Je baada ya ndoa wanandoa wanatakiwa kutafuta marafiki wapya pamoja?