Mtoa mada, mi naona ni sahihi na hakuna tatizo lolote, mbona nchi zilizoendelea ambapo ndo tumeiga mifumo yao hili swala linafanyika tu sana na wala hakuna tatizo lolote.Wana Jf hivi ni sahihi mwalimu mwenye MASTERS kufundisha shule ya msingi??? maana kiwango chake cha elimu hakiendani na anachokifundisha huko shule ya msingi.
Mtoa mada una matatizo siyo bure, mi naona ni sahihi na hakuna tatizo lolote, mbona nchi zilizoendelea ambapo ndo tumeiga mifumo yao hili swala linafanyika tu sana na wala hakuna tatizo lolote.
Tofautisha nchi yetu na nchi zilizoendelea ss bado hatujaendeleaMtoa mada una matatizo siyo bure, mi naona ni sahihi na hakuna tatizo lolote, mbona nchi zilizoendelea ambapo ndo tumeiga mifumo yao hili swala linafanyika tu sana na wala hakuna tatizo lolote.
Mkuu hoja yako ya kwanza ilikuwa inadai kwamba si hadhi yake jutokana na kiwango chake cha elimu kitu ambacho si sahihi wala hukuonyesha sababu ya upungufu wa wakufunzi ama walimu wa sekondari, lakini kufundisha vyuo nafasi si huwa zinatolewa moja kwa moja kutoka vyuo husika ukiwa na GPA ya 3.8 si unaomba?Hakuna tatizo ila inatakiwa tuelimishane, kwa level ya nchi yetu MTU mwenye master angalau afundishe kuanzia secondary, ukufunzi vyuoni, nchi zetu hazijawa na wasomi kiasi hiki hadi mwenye master kufundisha shule ya msingi, au wanaangalia posho ya kustafu iongezeke ukizingatia na elimu zetu za kufanyiana research ndo bureee kabisa .
Acha mawazo ya kitumwa na ujima, kwa hiyo kuwa na kiwango kikubwa cha elimu kwenye nchi zinazoendelea ndio kinahalalisha wanafunzi wa shule ya msingi wasipate mwalimu mwenye elimu ya juu?.Tofautisha nchi yetu na nchi zilizoendelea ss bado hatujaendelea
Acha mawazo ya kitumwa na ujima, kwa hiyo kuwa na kiwango kikubwa cha elimu kwenye nchi zinazoendelea ndio kinahalalisha wanafunzi wa shule ya msingi wasipate mwalimu mwenye elimu ya juu?.
amini ninachokuambia. kuna walimu wengi wa shule za msingi wakijiendeleza huogopa kwenda kufundisha sekondari. niliwaona wengi sana na hata wale waliolazimishwa na muajiri wao kwenda kufundisha sekondari, walienda kishingo upande, tena wakiwa wanalalamika kwa sauti.Wana Jf hivi ni sahihi mwalimu mwenye MASTERS kufundisha shule ya msingi??? maana kiwango chake cha elimu hakiendani na anachokifundisha huko shule ya msingi.
amini ninachokuambia. kuna walimu wengi wa shule za msingi wakijiendeleza huogopa kwenda kufundisha sekondari. niliwaona wengi sana na hata wale waliolazimishwa na muajiri wao kwenda kufundisha sekondari, walienda kishingo upande, tena wakiwa wanalalamika kwa sauti.
ila hata hivyo mwenye masters kufundisha shule ya msingi sio tatizo kiujumla, ila kwa upande wetu kuna ukakasi kidogo. hatujawa na welimu wa masters mengi kiasi hicho mpaaka kufikiaa wengine kukosa kazi zinazoendana na level yake ya elimu na hatimae kufundisha level ya chini. mtaala wetu umetamka wazi kua, mwalimu wa astashahada atafundisha shule ya msingi, mwalimu wa stashahada ataafundisha kuanzia kidaato cha kwanza na cha pili, na mwalimu mwenye shahada ataundisha kuanzia kidato cha tatu mpaka cha sita. huyu mwenye masters ache woga, atafute vyuo afundishe.
naona napoteza muda kubishana na wewe, kila la heri mwalimu wa master.We ndo mwenye Mawazo ya kitumwa na ujima , unajua madhumuni ya kusoma masters & PHD, ukijua madhumuni ya hivyo vitu utatoka kwenye u member hapa jf na kusogea hatua nyingine mbele
Inawezekana hiyo ikawa chachu ya kutuweka katika nchi zilizoendelea, kuboresha elimu yetu zaidi.Tofautisha nchi yetu na nchi zilizoendelea ss bado hatujaendelea
Mm nafikiri wanabaki shule za msingi sababu wengi wao uwezo wao unakuwa mdogo sana, wanasoma kwa kukalili ili wapate wanachohitaji tu ,na lengo kubwa zaidi wanaangalia posho ya kustafu iwe kubwa kutokana na elimu aliyofikia.Ila me naona ni vizuri tuu ili watoto wanolewe vizuri, lkn pia huwa naskia Master's in early childhood education, nadhani ndo watakua wanafundisha primary hao...!!
mtaala wetu umetamka wazi kua, mwalimu wa astashahada atafundisha shule ya msingi, mwalimu wa stashahada ataafundisha kuanzia kidaato cha kwanza na cha pili, na mwalimu mwenye shahada ataundisha kuanzia kidato cha tatu mpaka cha sita. huyu mwenye masters ache woga, atafute vyuo afundishe.[/COLOR]