Habari wapendwa,
Leo nimekutana na rafiki yangu tulisoma enzi hizo ujanani, bahati mbaya alilelewa na mama yake tu yaani (single-mother), lakini jamaa hakupenda sana tabia ya mama yake kubadili vidume tena sometyme wengine wadogo kabisa.
Siku moja ambayo sitaisahau ni pale mtoto alipomwambia mother ake kuwa, ile tabia haipendi.Daah! Maama yake alipaniki sana na kutoa maneno mengi sana kumwambia mwanaye, nakumbuka alisema hivi kila siku unaomba hela unajuwa zinatoka wapi? Kila mara unaandika barua kuomba hela nakutumia (EMS/TMO)- (kipindi hiko simu bado) kwa taarifa yako sikupi ada term hii, kamtafute babako huko aliko atakulipia.
Nakumbuka tulikuwa form 3 enzi hizo jamaa alichelewa sana kurudi shule, na alipofanikiwa kupewa akaahidi hatamfuatilia tena mama yake katika mambo yake.Nimekumbuka kisa hiki leo baada ya kukutana na rafiki yangu huyu tuliepotezana miaka mingi, kwa sasa ni afisa katika mkoa mmoja hivi.
Swali: Je ni sahihi kumkanya mama yako endapo ana mapenzi ya mwendo kasi? Au dawa ni kutulia na mambo yako tu na kuzuga huoni?