McCain JF-Expert Member Dec 2, 2016 1,169 517 Feb 5, 2017 #1 Nchi za wenzetu UAE, UK, USA Russia wanasaidiana sana wanainuana kiuchumi ila co Tanzania. Karibu kwa mjadala!
Nchi za wenzetu UAE, UK, USA Russia wanasaidiana sana wanainuana kiuchumi ila co Tanzania. Karibu kwa mjadala!
swissme JF-Expert Member Aug 15, 2013 13,663 19,891 Feb 5, 2017 #2 Wafadhili wa ccm ndio vinara wa madawa ya kulevya tusaidiane kukemea hili. Swissme
kenstar JF-Expert Member Aug 24, 2015 2,276 1,443 Feb 5, 2017 #3 Huwezi saidia watu wasiosaidika au wasiweza kujisaidia.