bange frank
Member
- Jul 21, 2015
- 26
- 23
Waungwana ni mda mrefu nimekuwa nikijiuliza ni mda gani wanatumia wanaanga NASA kufika katika sayari nyingine wakitokea sayari ya dunia na je wanakaa huko kwa mda gan pia je na huko kuna magonjwa yanayotokana na mazingira huko?karibun wataalam