Je ni Mafanikio ya Operesheni sangara?

Je ni Mafanikio ya Operesheni sangara?

tzjamani

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2010
Posts
995
Reaction score
33
Je ni Mafanikio ya Operesheni sangara?

Jinsi watu wanavyojitokeza kwenye mikutano ya kampeni na namna kampeni za mtu kwa mtu, kupitia simu na mitandao mbali mbali. Hamu ya mabadiliko imekuwa kubwa sana.

Tuwapoengeze CHADEMA kwa hili.
 
Ni kwamba watu wamechoka na maisha ya ahadi no changes so we need true changes.
 
yes,imechangia pia kuwaamsha watanzania kwa kiasi kikubwa sana
 
Back
Top Bottom