Je, ni lipi suluhisho la mwanaume kufika kileleni mapema?

Habar wana Jf,

Huwa nawai sana kushusha huwa najitahidi sana kuchukua mda mrefu kwa maandalizi lakini bado nawaikushusha na nikishusha 1 tu, uume husi nyaa kabisa na huchukua mda mrefu sana kusimama tena hii hali inanitesa sana.
Naombeni

Ushauri wa tatizo hili mana linanitesa sana
Acha kupiga puli...punguza chips yai
 
Pole mkuu hata mimi mara ya kwanza kukutana na papunch uume ulisimama sana ila kabla hata sijaingiza tayar nimemwaga nilimwaga bao 6 zote ila njee tu kadr siku zilivyoenda na kukutana na wanawake tofaut nikawa sawa kisaikolojia na sasa niko powaaa
Thats really..
 
Wataalamu naombeni msaada wenu kuhusu hili,nina miaka 25 ni mara ya pili sasa maishani mwangu kufanya sex lakini mara zote nikishaingia ukeni tu,ndani ya dakika 2 namwaga,ni tatiz gani wadau
 
kwani ukiwa unatiana lengo lako ni nini kama sio kukojoa? we kojoa anza tena labda kama ukikojoa kitu hakidindi tena hapo ndo kuna ishu.
 
Mkuu hapo cha kufanya ni jutuliza akili...sex inaend san na psycholojia....epuka kutumia vitu au vyakula kwa kujiaminisha vitakusaidia coz cku ukikosa utashindwa kbsa sabb ya woga......jitahid kujizuia na kuhamish mawaz pind unapokaribia kumwag
 
Sikia, Fanya zoezi la kukaza msuli unaobana mkojo, kila ukisimamisha kaza msuli kama unabana mkojo usitoke bila kuachia ndani ya dakika nzima bila kupumzika,(ingawa ata sekunde 10 unaweza usifikishe kama kweli una ilo tatizo) epuka kubana pumzi we pumua kama kawaida,rudia ilo zoezi mara kwa mara unaposimamisha paka cku utakapofikisha dakika 2 bila kupumzika utakua umepona kabisa(achana na dawa)
Unamaanisha mpka abdala awe amesimama ndo unaweza kufanya hilo zoez mkuu?haiwezkan kukaza akiwa kalala?
 
Mambo yafuatayo yabachangia sana

1. Kama mwanamke siyo msafi na hajipendi maana yake mwanaume atafanya mapenzi kutimiza tuu wajibu wa ndoa.

2. Kama mwanaume ni mchepukaji na anacheouka na pisi kali kuliko mke wake , basi atafanya mapenzi na mke wake kutimiza tuu wajibu wa ndoa.

3. Kama mwanamke hata kauli nzuri wakati wa tendo, kauli kama usijishike nywele, usinilambe, toa limdomo lako linanuka, maliza haraka, unaniumiza, basi mwanaume atafanya tuu uli kutimjza wajibu.

4. Mwanamke asiye onyesha hisia za mpenzi, yaani hata umshike vipi as if hayupo, basi mwananume anatafanya jutimiza tuu wajibu wa ndoa.

5. Mwanamke kufanya mambo ambayo mwanaune anahisi ni tabia za malaya.

Katika mambo yote manne hapo juu yanachangia sana kuharibu hisia za mwanaume na baadhi kushindwa hata kusimamisha kwa sababu ubongo wao unakua umeharibiwa kwa woga, hisia mbaya.

Kwa hiyo tusiwalaumu sana wanaume kwa sababu ubongo unahusika.sana na afya ya mapenzi . Mwanaume mwemye hofu, mashaka, etc kamwe hawezi kufanya vizuri kwenye mapenzi.

Ili mwanaume afanye vizuri kwenye 6x6 inategemea sana maandalizi ya mwanamke kumuandaa kisaikologia na kimwili.

Pia mwanamke kama hayupo vizuri kihisia, ni sawa na kufanya mapenzi na gogo la mninga..

Dawa ya kufanya vizuri ipo mikononi mwa wana ndoa husika.

Usioe mtu ambaye humpendi au siyo type yako.
 
Back
Top Bottom