Subili wataalamu wanakuja...Utafiti unaonesha kuwa wale wanandoa wanaovaa date, mara nyingi nguo za vitenge, mwenye sauti kwenye ndoa hio ni mwanamke.
Mimi binafsi siwezi kuvaa sare sare na mke wangu. Je utafiti huu una ukweli gani? Nimesikia inajadiliwa redioni leo asubuhi
We huvai sare sare?Subili wataalamu wanakuja...
Akikujibu nitag, isije kuwa alisikia kwenye Redio makopoRedio gan mkuu ?
[emoji16][emoji16] sawa mkuuAkikujibu nitag, isije kuwa alisikia kwenye Redio makopo
huo ni ukweli unaofanana na uongo.Utafiti unaonesha kuwa wale wanandoa wanaovaa date, mara nyingi nguo za vitenge, mwenye sauti kwenye ndoa hio ni mwanamke.
Mimi binafsi siwezi kuvaa sare sare na mke wangu. Je utafiti huu una ukweli gani? Nimesikia inajadiliwa redioni leo asubuhi
Utafiti unaonesha kuwa wale wanandoa wanaovaa date, mara nyingi nguo za vitenge, mwenye sauti kwenye ndoa hio ni mwanamke.

TBCRedio gan mkuu ?

Unamvalisha na mwenzio? Anapenda na yeye?Ni napenda sana, yaani tuwe kama mapacha. Kuna raha yake [emoji4]
Unamvalisha na mwenzio? Anapenda na yeye?
Hapana sivai na siwezi sababu sipendiiiiWe huvai sare sare?
Nilijua ni huyo mzunguBado sina mwenzangu ila nikimpata [emoji16][emoji16] nitamshawishi tuwe mapacha aisee. Tunapaswa kufanana kimwili na kiroho.
Mwanaume unawaza vipi mambo ya sare za vitenge.[emoji1][emoji1] Unaanzia wapi pak unaishia kwenye ilo wazo.?Utafiti unaonesha kuwa wale wanandoa wanaovaa sare, mara nyingi nguo za vitenge, mwenye sauti kwenye ndoa hio ni mwanamke.