Hisia zako zinakuambiaje? Hicho unachohisi ambacho hutaki kusema ndio ukweli mtupu...!
Mie binafsi sipendi kabisa nikiona dada zetu wanachukuliwa na hao ngozi nyeupe
Sioni kwanini mtu awe na tatizo na kitu kisichomhusu!!!Kwani asingekua na huyo mzungu ndo angekua nae??!Ni ulimbukeni tu unawasumbua!!
Labda kama huyo dada alikua interested na kaka tangu mwanzo...and even if that was the case still hana haki ya kukasirika kisa kachukuliwa mzungu!!!Zaidi ya hapo bado sioni huo usahihi unatoka wapi...unless huyo kaka nar amependa rangi na sio mtu ndo naweza kuelewa akisema kitu kama hathamini vyakwao ila kama kampenda mtu basi kampenda....huyo dada nae atafute mzungu wake!!!Nadhani ukichukulia context ya kuwa mbali na nyumbani...anaweza kuwa na madai/wivu sahihi? Maana huku tunaweza kusema market imepungua. Tuseme kama wewe binafsi unaishi sehemu yenye watz au waafrika wachache. Alafu katika hiyo limited market ukute mtu anachukua au anachukuliwa na mzungu! Siyo sahihi kuwa na wivu au tatizo na hilo?
Labda kama huyo dada alikua interested na kaka tangu mwanzo...and even if that was the case still hana haki ya kukasirika kisa kachukuliwa mzungu!!!Zaidi ya hapo bado sioni huo usahihi unatoka wapi...unless huyo kaka nar amependa rangi na sio mtu ndo naweza kuelewa akisema kitu kama hathamini vyakwao ila kama kampenda mtu basi kampenda....huyo dada nae atafute mzungu wake!!!
Na ukichunguza sana utakuja kugundua kwamba huyo dada hata akiona weusi wawili bado roho itamuuma kwasababu yeye hana wake...kwa mzungu katumia tu kisingizio cha bei rahisi kuonyesha chuki yake kwa mwanamke mwingine yeyote yule aliyebahatika kupata ampendae!
Kama asingekua n chuki asingesema hivyo!!!Nwy sioni ukweli wowote maana wadada kibao nao wako na wazungu!!!huyu demu wa kizimbabwe alisema hiyo as a general statement! Sio kwamba yeye ndio mwenye wivu! Na kwa madai ya pili kuwa ni vigumu kwa wanaume wa kizungu kutoka na wasichana wa kiafrika...yana ukweli?
Kama asingekua n chuki asingesema hivyo!!!Nwy sioni ukweli wowote maana wadada kibao nao wako na wazungu!!!
We haya mapenzi ya usanii ya kipindii hiipenzi halichagui rangi,dini, kabila, kimo au baraunalotokea achia mbali nchi au kijiji...