Bora yeye kuna jirani hapa kapiga ugali na chai kashushia na mua hiyo ni asubuhi! Mchana kitu cha ugali wa muhogo na kachumbali ya pera ikichanganywa na nyanya chungu sahivi namuona anakula mchanganyiko wa matunda ila anapaka na blueband!! Na aliniomba nimuunge jf ndo naelekea kumuunga jiandaeni kumpokea