Je ni kweli wanamuziki kizazi kipya huko South waliji Load Mzigo?

mtoto wa kigogo gan?au yule tuliemuona mitandaoni akiwa SA anachagua jeneza la Ngweair?lisemwalo lipo.

Halafu yule skendo kama hizi anazo nyingi sana. Nilikuwa nikisikia hii kitu kwa muda mrefu sana na pia wanasema anashirikiana na mtoto wa kigogo mwingine, yaani wana mtandao wao wa kiaina flani hivi.
 
Je wadau biashara siku hizi imebadilika coz hapo zamani poda ilikuwa inatoka Tz kwenda Sauz.je siku hizi ni kutoka sauz kuja Tz? au vyovyote tu.

Yes imebadilika kwani poda siku hizi inatokea South America to Bondeni, then wachuuzi/walanguzi ndo wanakwenda huko kulangua na kuwauzia wengine. Kuwa na mashaka sana na mtu anayependa kwenda Bondeni mara kwa mara bila sababu ya msingi.
 
Kama nani anaendaga sana bondeni??
 
dah,inawezekana,maana kilichomuua ngwair mpaka sasa hakifahamiki,ingawa riporti ya Dr ipo,jiulize kwa nini haiwekwi hadharani?

Dada Azote haujaitafuta tu hiyo ripoti, labda haujataka kuiona tu! na swala la kujilodi mzigo ni habari za UDAKU za magazeti ya yule jamaa yenu msukuma, mtu hawezi kujipakia masaa 14 kabla ya safari, that wd be suicide! Ripoti inasema sample ya damu ilikuwa na kiasi kikubwa cha dalili za pombe kali na drugs zingine mbalimbali.
My Take: Vijana wa Bongo wamezoea kula makapi, alipokutana nayo ile ya ukweli wakaifakamia kama wanahama, changanya na pombe watu chali.
 
Last edited by a moderator:
Report ya kifo imechakachuliwa, but cha kujifunza hapa ni kuacha tamaa..ukipewa mzigo wa mtu fikisha mahali husika usichakachue.

by the way..hivi ule mzgo kutoka brazil to bonden ndo ngwair aliupokea au ni m2the p?

poison sprays inawezekana imehusika hapa.
 
Je wadau biashara siku hizi imebadilika coz hapo zamani poda ilikuwa inatoka Tz kwenda Sauz.je siku hizi ni kutoka sauz kuja Tz? au vyovyote tu.

Hiko ukisemacho kipo hadi sasa. Poda inatoka Tz kwend Sa maana soko lake kule ni kubwa kuliko huku Tz.
 
ni kweli mkuu...kuna video inasambaa kwenye whatsapp inaonesha alivyokua anafanyiwa postmoterm pamoja nakutolewa hizo kete....alikua amezingukwa na watanzania baadhi yao wakiwa wanarekodi tukio hilo na wanasikika wakizungumza kwa kiswahili

Plz naomba nitumie nione
 
Huyo askari ni mdaku kama hilo gazeti ulilokuwa unasoma

no way uji-load usiku mapema,safari iwe kesho yake adhuhuri
Kwani mkuu, kwa experience yako huwa inakuwaje? Mtu anaji-load mzigo mda gani kabla ya safari?
 
Dada Azote haujaitafuta tu hiyo ripoti, labda haujataka kuiona tu! na swala la kujilodi mzigo ni habari za UDAKU za magazeti ya yule jamaa yenu msukuma, mtu hawezi kujipakia masaa 14 kabla ya safari, that wd be suicide! Ripoti inasema sample ya damu ilikuwa na kiasi kikubwa cha dalili za pombe kali na drugs zingine mbalimbali.
My Take: Vijana wa Bongo wamezoea kula makapi, alipokutana nayo ile ya ukweli wakaifakamia kama wanahama, changanya na pombe watu chali.
ile iliyopo kwenye mitandao ni ya uongo,watu waliedit ya Winehouse yule mwanamziki marehemu wa london.Ya marehemu Ngwair haijawekwa hadharani
 
Kwani ripoti ya Daktari ya kifo cha nani iliwekwa hadharani, ipo kwa ajili ya mambo ya kisheria na familia zaidi.
huyu ni star so riport yake ni vizuri ikawekwa peupe ili fans wake wajue kilichomchukua kipenzi chao,of coz sio lazima iwekwe,ila kwa vile alikuwa public figure watu watapenda wajue wha exactly took their king of freestyle
 
dk.1 kabla kukwea pipa!!

point yangu ilikuwa hawawezi jibebesha mzigo masaa 10 kabla ya safari
Nashukuru kwa kunielimisha kwani mie nilidhani pengine mtu atatakiwa ameze mapema kidogo ili "ngoma" izoee kwanza tumboni!
 
Kama nani anaendaga sana bondeni??

Kuna vijana mtaani kwetu walikuwaga maalosto miaka ya nyuma, sasa ukiwaona utawashangaa jinsi wanavyotanua na pale mtaani kwetu kila kukicha yanakuja magari ya hajabu hajabu kwa kujificha (inasadikiwa ni ya vigogo) na wale vijana kila kukicha wako bondeni. Mtaani watu wanaguna tu ila kusema wanashindwa na siwalaumu kwani si kazi yao kusema kwani hata wakisema watakutwa wamenyongwa na kutumbukizwa visimani.
 
Hizo stori za kubeba mzigo ni uongo bana mzigo hautoki south kuja tz and pia kama ingekuwa hvy south wasingemruhusu m to the p kurudi bongo mapema na hakuwa kizuizini all time hadi walipompa taarifa za msiba akarudi haraka kuja kuzika

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom