Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 3,833
- 2,790
mtoto wa kigogo gan?au yule tuliemuona mitandaoni akiwa SA anachagua jeneza la Ngweair?lisemwalo lipo.
"Hawa vijana watakwisha kwani hata huyu alijiload mzigo ukapasukia tumboni, na alitumwa na mtoto wa kigogo mkubwa sana" Swali: Hivi ni kweli marehemu huyu alikuwa amejiload mzigo kweli???
Hivi kinje ashaacha kusupply sembe?
Dada white hii Avatar yako umeikopi ualady ya yule mdada wa mwanza mwenye mitusi kibao ama ndo wewe. Zipo na picha zake mbili moja kavaa nguo nyeusi za mazoezi na nyingine kachuchumaa kwenye dimbwivla maji machafu. Nipm nikutumie aisee.
Kwa kweli
kinachoendelea ughaibuni ni hatari hawa maprince watatumalizia vijana
wetu...kwa nini kijana mdogo asifanye biashara halali anawamaliza watoto
wa maskini kwa sababu rafk yake ngwea naye yupo mahututi pia kutokana
na the same event..R.I.P NGWEA
ni kweli mkuu...kuna video inasambaa kwenye whatsapp inaonesha alivyokua anafanyiwa postmoterm pamoja nakutolewa hizo kete....alikua amezingukwa na watanzania baadhi yao wakiwa wanarekodi tukio hilo na wanasikika wakizungumza kwa kiswahili
dah,inawezekana,maana kilichomuua ngwair mpaka sasa hakifahamiki,ingawa riporti ya Dr ipo,jiulize kwa nini haiwekwi hadharani?